Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

I'm all ears...spill the secret about those magical,syeeeeeksiiii fingers of yours😋..
What's the sweet surprise your fingers are up to mama?🤤
Kwa maneno hayo tyr ushajichukulia sheria mkononi 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 Mello atuwekee sehemu ya voice note jamani!! Nachoka kutype!! Nilitaka nikupe story ya hiyo sehemu Hindi nilivyofika ucheke
🤣🤣

Nitakusaidia maombi kwa melo,

nilifahamu hiyo sehemu kupitia vile vibweka kuchapana ngumi pale darajani karibu na shani cinema,kuna mzee alikuwa fundi saa pembeni kidogo ndio alikuwa wa kwanza kuamua ugomvi tusivuruge biashara yake.

🤣 vile vijukuu vya abood walivyoona mziki mzito wakauchapa mwendo huku wakitutushia watatusomea somo ikishindikana wataenda kuturoga matombo.🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom