Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

🤣🤣

Nitakusaidia maombi kwa melo,

nilifahamu hiyo sehemu kupitia vile vibweka kuchapana ngumi pale darajani karibu na shani cinema,kuna mzee alikuwa fundi saa pembeni kidogo ndio alikuwa wa kwanza kuamua ugomvi tusivuruge biashara yake.

🤣 vile vijukuu vya abood walivyoona mziki mzito wakauchapa mwendo huku wakitutushia watatusomea somo ikishindikana wataenda kuturoga matombo.🤣
Wajukuu wa Abood wamepajuaje matombo kwenye mizimu ya kolero?! 😂😂😂
Au babu yao ndiko anakoenda kuroga?!
 
I'm all ears...spill the secret about those magical,syeeeeeksiiii fingers of yours😋..
What's the sweet surprise your fingers are up to mama?🤤
Man Zulu man! Let's wait until nightfall, I have something to share then….
 
Wajukuu wa Abood wamepajuaje matombo kwenye mizimu ya kolero?! 😂😂😂
Au babu yao ndiko anakoenda kuroga?!
🤣🤣

Imani yangu ikanijenga wote wanaopafahamu huko wachawi,

Hukwenda kutafuta dawa kweli huko?🤣
 
Kabisaaaa!!! 😂😂😂
Hawajui km na sie tunayaweza katika yeye atutiaye nguvu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hahahaha nimecheka kinoma! Dada mshenzi sana wewe!

Kwamba katika roho…… tunayaweza yote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom