mali safi kabisa[emoji91]
maua ya jamiiforums[emoji255]#ThrowBack View attachment 2846986
mkuu vitu kama hivi weka na namba za simu
[emoji91][emoji91][emoji91]
Mbona na wewe ua, tena la pink! Tupia iko kipink flower bhasi π·maua ya jamiiforums[emoji255]
Tuma za enzi za Patel, kwani hukupiga picha na watoto wa kidosi?! πππAiseeeh
Uchoyo tu.
Ujue niliona ila sikuelewaπ€£π€£πAcha tyuu!! Nimekuta manjegeka km yotree!! πππ
Jamani hebu nitafutie juxJux atakuwa kashaanza kuja huku uswekweni, si unajua kasema pilau la Christmas anakuja kula kwako πππ
Uzi huu sikuutembelea km siku 2, Leo naingia nakutana na hekaheka. πππUjue niliona ila sikuelewaπ€£π€£π
Itakuwa Jux kanyakuliwa na kina Asha jibwa πππJamani hebu nitafutie jux
Sa birthday itakuwaje π€£π€£
Au kashadakwa na watt wa uswazi
tupia kapicha babeAcha kutafuta kiki c uwataje kenge madoa weye [emoji1783]
Mji mzito in warumi (rip) voiceπππππ mji mzito nyie
Ila Antonnia udugu tabia mbaya sijapenda, kweli umeshindwa kuniita?!
Mama weeeeeππ πItakuwa Jux kanyakuliwa na kina Asha jibwa πππ
Hivi penzi lenu liliishia wapi? πππtupia kapicha babe
yeye ndo analiendesha muulizeπHivi penzi lenu liliishia wapi? πππ
Nizitupe...?πPete za vidole vya miguu best huwa zinaleta mihemko
ππππ Hivi unajua hata id yake nimeisahau!! Hebu ikumbuke tumuite tujue yuko wapi? Km kafichwa twende na polisi tukamtoe km yule diwani na AshuraMama weeeeeππ π