[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mie nna mabwana wangapiii?Unatafuta ugomvi na cocacola nishakuona bff [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chuma cha coca long ooh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahKiuno na rangi imemvuruga bro angu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ana mcontena wa christmass tree unakaribia kuisha. Ongea nae vzr tupate pesa sikukuu udugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna najua ameoa na ana familia kitambo mwayaa, relaaaaaaxxxxxxxx.Mjulishe Kama umeoa pia[emoji38]
Mfyuuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23]mimi wa mkoani...dasilam natafuta maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwendraaaMfyuuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nlikua nakufikiria, ila sasa aaah bas.
Labda nikuchune maokoto tyuuh.
Hamna we unatudanganya ๐คฃSiku nyingine usipitwe
Na kwako pia OmulasilJamani List ni ndefu
Tayana-wog
Lamomy
Antonnia
Madame B
Missy Gf
raraa reree
CAPTORHINOMORPHS
Fabian Vitus
Mpaji Mungu
List ni ndefu. Jf members wote. Nawatakia usiku mwema ma Heri ya Chrismass na Happy New year.
This is free stress zone. Tunafurahi.
Nilale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwendraaa
Kwaiyo we mke wa mtu #lamomy kasemaRhabhekhaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐๐Jf Raha hekaheka zote hua zinaishia huku๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐
Yaani jf km umeoa/umeolewa mwenza wako akipita humu akaona hizi hekaheka unaweza pigwa,kumbe story tu
Kimeumana tena huku mkujeMume wangu uku unafuata nn Tena? Si tulikubaliana kuwa huchat Tena umu zaidi ya kusoma news tu
Kabisa ๐๐๐๐๐๐Jf Raha hekaheka zote hua zinaishia huku๐
Bwana leo maliasili ziko nje si unajua jumamosi? [emoji23][emoji23]
Hebu tupia kapicha kwenye huu uzi ujue sijakuona.
Uko poaKabisa ๐
Yes yes, sijui weweUko poa
Ewaaaah๐๐๐
Subiri kwanza nijifungue. Mila hairuhusu kuonesha nyumba ya mtoto au nasema uongo babe@its pancho?Wakubwa wanafaidi daah. weka na chini tuone ule uumbaji
๐โค๏ธSnack ๐๐๐
Ewaaaaaah๐๐Madam wa Mathe๐๐ฅ