KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,761
- 86,423
Mi tayari sema huwa unawahi kulala...🤣Hahaa ngoja nijisnap hapaa 🤳!
Nawe utupie Hujawahi tupia humu ujue!
Mi tayari sema huwa unawahi kulala...🤣Hahaa ngoja nijisnap hapaa 🤳!
Nawe utupie Hujawahi tupia humu ujue!
Snack 😍😍😍Akili za Desperados. Haya kula chuma hicho.View attachment 2834267
Kamera tu mkuu! Sina hata huo upaja!Hapa safi Sasa nimekuba blessed kwerikweri hususani huo upaja unaonyesha huko nyuma panamzigo wakutetemesha ikulu...😁
Wee muongo ndio unless saivi sasa haya do the needful usiniangushe!Mi tayari sema huwa unawahi kulala...🤣
Tatizo umefunga mlango wengine sie ni akina introvert shauli yako...😅Kamera tu mkuu! Sina hata huo upaja!
Unaona sasa, mambo kama hivi….. Hiyo mikono inafaa kumshika mtu saa hii! 😆🤦🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Needful umeifungia mwenyewe..😅Wee muongo ndio unless saivi sasa haya do the needful usiniangushe!
😂😂unaisingizia tu kamera, akati haidanganyi hiyo yaliyomo yamo bhana 😋🔥Kamera tu mkuu! Sina hata huo upaja!
Santo sana!
Oyaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 kipensi hicho sio poa 🙃Muwe na asubuhi njema wapendwa.
Haya KENZY nimewables!
Nipo Manyara ndanindani huku mvua inapenya hadi ndani🤠!
Vibaya hivooo! Usiku nawahi kulala tubless saiiNeedful umeifungia mwenyewe..😅
😂😂😂kumbe inafaa ebu nitoke shamba nikaitumie.Unaona sasa, mambo kama hivi….. Hiyo mikono inafaa kumshika mtu saa hii! 😆🤦🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Hizo baadae🤏😎👐Santo sana!
Naomba pera😋😋!!
Hauna 🤳 ya direct from gallery 🤠??🤔
We mgumu kuelewa kweli..😅 mi sijakataa wewe ndo umejifungia chumbani hutaki tukuone tukusalimie kabla hujalala!Vibaya hivooo! Usiku nawahi kulala tubless saii
Wee sema kweli??😁Oyaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 kipensi hicho sio poa 🙃
Haya nasubiria hio badae itafika tu ntaona!Hizo baadae🤏😎👐
Ohoo Mie kilaza mkuu hata naelewa kirahisi sasa!We mgumu kuelewa kweli..😅 mi sijakataa wewe ndo umejifungia chumbani hutaki tukuone tukusalimie kabla hujalala!
Nawe weka yako uturingishieSijapata kuona uzi wenye heading ya kijinga kama huu.
Eti mtu aringishie alivyovaa. Ili iweje?
Dah, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Najua ushaelewa sasaOhoo Mie kilaza mkuu hata naelewa kirahisi sasa!