raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,687
Mhipsi hiii haaaaaa 🔥🔥🔥Wee sema kweli??😁
Santo sana
Mhipsi hiii haaaaaa 🔥🔥🔥Wee sema kweli??😁
Santo sana
Hips nitoe Wapi Kamera tu rafiki!Mhipsi hiii haaaaaa 🔥🔥🔥
Nimefurahi sana kukuonaBaby sis![]()


Totooo jeuuupeeee 😋🔥Hips nitoe Wapi Kamera tu rafiki!
Madam wa Mathe😍🔥Akili za Desperados. Haya kula chuma hicho.View attachment 2834267
Tuupiganie huu uzi udumu tuonane mara kwa mara.Nimefurahi sana kukuona
Angalau umekuja uzi wetu pendwa wa selfika season2.
Season one nilikuwa naogopa kukutag![]()
Huu ukifungwa tunakufa na modsTuupiganie huu uzi udumu tuonane mara kwa mara.
Hapana ni Filter tu!Totooo jeuuupeeee 😋🔥
Tusikubali kuwa wakimbizi tena asee hiki kijiwe kidumu!Huu ukifungwa tunakufa na mods
Kwanza wataturudishia tu uzi wetu.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!! KiukweliHuu ukifungwa tunakufa na mods
Kwanza wataturudishia tu uzi wetu.
Kabeeesa aseee!Kazuri
Tumeoshapo macho na sura mpya nzuri![]()
Tuombe tu huu usivamiwe!Nimefurahi sana kukuona
Angalau umekuja uzi wetu pendwa wa selfika season2.
Season one nilikuwa naogopa kukutag![]()
Wavamizi tunawakabidhi kwa mshana awarogeTuombe tu huu usivamiwe!
Hapana hata hamna kitu asee Kamera sio kabisa hii itafanya hata siku nikikutana na watu live humu wanikimbie🤠!😂😂unaisingizia tu kamera, akati haidanganyi hiyo yaliyomo yamo bhana 😋🔥
Kasura kazuri zuri kama ka BosslediKabeeesa aseee!
Kwakweli mapicha ni kijiwe chetu kama wengine walivo na vijiwe vyao huko vituko mtandaoni n.kWavamizi tunawakabidhi kwa mshana awaroge
Wasituletee Giza
Sisi tushazoea mapichapicha.. vijembe ugomvi watafute uzi wao.
Wengine hadi kamera zinadunda kuwabebaHapana hata hamna kitu asee Kamera sio kabisa hii itafanya hata siku nikikutana na watu live humu wanikimbie🤠!
Anne wewe umeanza kutupamba mfyuuu!Kasura kazuri zuri kama ka Bossledi
Yaani watu wazuri bana hawanaga majigambo kabisa ya kujinadi
Wee nijazee tu!Wengine hadi kamera zinadunda kuwabeba
Usituzuge
Wewe ni lizuri.