Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Shouga unaibiwa mchana kweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchukue Mjep usikubali na wewe!! Fita fita murah [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mjep haibikiiiii,
Jamani tajiri ni wako bhanaa, sasa yeye eti anasema bado hajala tunda, mie nikasema wenzie wanakula na chumvi.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Tamaa za fisi hizo ushaanza tajiri [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya lete pesa nikupe wote uende nao Zanzibar holiday wakaogelee na kasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zanzanbar siend tena, Mjep aliniuza huko, ilibidi nifanye usafi wa hotel week nzima.
 
Picha sioni kabisaaa, vipi ni fav yangu au ndo ntolee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiiii ss unaachaje kuona Kwa mfano
Fanya juu chini
Lamomy naomba umpe wasifu wa picha ya Dr,Tena kapita naked 🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…