Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shipa la babu miga uliwahi ona wapiii? Una kilanga weeyeee, ngoja aje.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Babu miga nimemmiss na fake reports zake!!! E’m babu miga njoo bhana utuchangamshe kidogo wajukuu zako tumekumiss 🀣🀣
 
Weee tulia kizuri kula na rafiki. Huyu nibrafiki wa Tayana-wag. Ameniruhusu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu miga nimemmiss na fake reports zake!!! E’m babu miga njoo bhana utuchangamshe kidogo wajukuu zako tumekumiss [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ajee aanze kupost [emoji477]za mlimani city.
Zinabamba balaaaa
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Jmn ushoga gani huu wa kuibiana bwana!
Nikimchukua Mjep asije kuoialia hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie simuibii, mie si mpambe wa mama mtumishi jamani, wee si ndo mshika pochiii?

Uduguuu nampenda Mjep wangu
Wewe unamponda mama mtumishi ili ujiweke 🀣🀣🀣 nimeona unasema eti kifuniko kimezibuliwa na wahuni cha mama mtumishi!!
Na tajiri naye kahamisha majeshi kaanza kufolu lavu kwako 😜
Nyie hili pic nalifatilia kwa makini hapa mjue?!!
 
Sema wewe ,kumbe umemuona ehh🀣🀣
Ngoja tu si ananichukulia poa shost coca🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…