Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Oyoooooo!! We udugu hii funga mwaka.
Mbona km umewazima midomo nyaku nyaku watu na mabebi zenu buana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli shem atupe muongozo wa pic tuone [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyaku nyaku wa JF? tatizo shem ana mbambamba nyingiii.
 
Shem sikuwepo naomba urudie muongozo wa foto chap, kwanza ushemeji haufi weka foto hilo!!!
Sema nyie mfanye mrudiane nyie watu bado mnapendana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongezaaaa sautiiiiiii uduguuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oyoooooo!! 😍😍😍
Shem Mjep Embu kam zis wei coca ana ujumbe wako wa kwako peke yako!!
Mabebi zetu wale wale hatuna muda mchafu wa kubadilisha badilisha 🤣🤣

Halafu kumbe Miongozo alipita naked hukuniita nisafishe macho? Hukunitunzia pic kwan?😂😂😂
Jmn niitie baby wangu shogaree
Au ushasahu 🤣
 
Oyoooooo!! [emoji7][emoji7][emoji7]
Shem Mjep Embu kam zis wei coca ana ujumbe wako wa kwako peke yako!!
Mabebi zetu wale wale hatuna muda mchafu wa kubadilisha badilisha [emoji1787][emoji1787]

Halafu kumbe Miongozo alipita naked hukuniita nisafishe macho? Hukunitunzia pic kwan?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kubadilisha sio shida zetu, tuko buzzy na ukuni mmoko tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom