Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Uzi umepoa sana wapendwa!

Smart911 happy independence day!

Karibu utupe muongozo uibles Jioni yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
!
Oyoooooo!! We udugu hii funga mwaka.
Mbona km umewazima midomo nyaku nyaku watu na mabebi zenu buana 🤣🤣🤣
Kwa kweli shem atupe muongozo wa pic tuone 😜
 
Kheri kwako pia ya Miaka 62 ya uhuru wa iliyokuaga Tanganyika...

Ngoja niangalie kama naweza kutoa muongozo...
Shem sikuwepo naomba urudie muongozo wa foto chap, kwanza ushemeji haufi weka foto hilo!!!
Sema nyie mfanye mrudiane nyie watu bado mnapendana 🤣🤣🤣🤣
 
20230902_152912.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom