raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,827
- 36,831
Hatari saaana alafu nimekuja kugundua jf kuna watoto shombeshombe kibao humu heheheeee 🔥🔥🔥Mtrotro potrabo mmoja matraaatraaaaa sanaaaa!
Yuko so🔥🔥
Hatari saaana alafu nimekuja kugundua jf kuna watoto shombeshombe kibao humu heheheeee 🔥🔥🔥Mtrotro potrabo mmoja matraaatraaaaa sanaaaa!
Yuko so🔥🔥
Umeona eehh!Hatari saaana alafu nimekuja kugundua jf kuna watoto shombeshombe kibao humu heheheeee 🔥🔥🔥
Mitoto ya kilatino kibao humu hata wewe miksa kama umechanganya damu hivi kwa mbaali maana sio kwa weupe huo 🔥🔥🔥Umeona eehh!
Waarabu kama wote humu!
Wooow!!! [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Akili za Desperados. Haya kula chuma hicho.View attachment 2834267
Wee acha hizoo mi cheusi mangala mkuu!Mitoto ya kilatino kibao humu hata wewe miksa kama umechanganya damu hivi kwa mbaali maana sio kwa weupe huo 🔥🔥🔥
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kama boss ledi[emoji91]
Kama unabisha tupia hapa tuone
Huyo alikuwa busy kupika stori za uongo za mama mchungaji
Sasa sijui ndo alishamaliza ama anamalizia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eehh!
Waarabu kama wote humu! Ni pisi za kwendaa!
Embu tupia ile ya kipensi ukiwa umesimama 😋Wee acha hizoo mi cheusi mangala mkuu!
Anne utamuweza haha😁![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WeeAnne umenishinda ujue kwa upambe mwikaju akasome 🙌 😁!
Wazee tumestaafu mkuu!Embu tupia ile ya kipensi ukiwa umesimama 😋
Washenzi ni wengi sana.😳😳😳😳😳!
Doh kumbe 🙌🙌🙌🙌!
Inasikitisha sana asee!
Haya Fanya mafekechee utubles !
Cocas huyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza janja janja lini wewe?? Acha hizooo tubless kiuno nyigu hiko!Washenzi ni wengi sana.
...m
Mimi ngoja nijifungue Junia kwanza🤣
Nilikuwa naringia flat tummy,ndo hiyo Junia amejaa tele.
Nakosa picha sasa za kuweka😂
Nyigu si nyiguUmeanza janja janja lini wewe?? Acha hizooo tubless kiuno nyigu hiko!
Sijui ashapewa kitengo Coca wetucocastic the Engineer herself atubless tusafishe macho tangu majuzi anatudanganya !
Nimemmisijee kumuona mimi!