Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Na kweli watanijua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Maana nilikuwa napenda hekaheka, ukitokea umbea hawasutani mpk niwepo ili kuchachua msuto
Kichwa yako tu kimuonekano inadhihirisha๐Ÿคฃ

Uko na nywele mingi now or low cut hairstyle?๐Ÿคฃ
 
Me huwezi kunijua ngโ€™o ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwanza kwann umefuta ile comment we mgombania mademu wa kigabachori kwa kutishia wenzio silaha?!!

Kweli sikuliwa bhana me nilikuwa muoga na michezo mibaya
๐Ÿคฃniko kwa process ya ku verify u-Jf member so hizo dhambi sitaki na mwisho wa siku kuunganishiwa matukio sitaki kabisa hapa duniani.

Warembo wa asia walikuwa wananikubali maana Kaka yako nilikuwa muhendisaaamuu ila siku hizi sijui umepotelea wapi๐Ÿคฃ,ndugu zao walikuwa wana-mind ,hizo ndio chanzo cha timbwili,kuna siku natoka na crew yangu tunaenda kuzichapa pale shani cinema near na kale ka daraja๐Ÿ™Œ.

Uende bwalo na mchumba akuache hivi hivi,kweliiiii?
 
Verify afu avatar uweke picha yako halisi niwe nakukumbushia mabalaa yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umenikumbusha shani cinema dah! Na jioni pale posta kulikuwa kunamwagwa viatu vya mtumba vizuri!! Nilikuwa napenda kuvaa sketcher u dada du mwingi ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ siku narudi kijijini ndio naweka kila kitu sawa hadi profile pic.

Posta pale pale kwenye sidewalks zake? Sikuwahi kuona,ila pale kuanzia office za Tafori za zamani ndio huwa nilikuwa naona.
Hongera kusoma shule za watukutu
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ siku narudi kijijini ndio naweka kila kitu sawa hadi profile pic.

Posta pale pale kwenye sidewalks zake? Sikuwahi kuona,ila pale kuanzia office za Tafori za zamani ndio huwa nilikuwa naona.
Hongera kusoma shule za watukutu
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Nakuzingua me nilisoma gomz ulongoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ