Huyu akanipa na nyonya kiarage mpaka mku...?Hivi vitu nakula mm na sean combs tu!View attachment 2826234
Aisee, wewe nakufahamu vizuri kabisa!View attachment 2824810
Mnafichaje uso jamani nimehangaikaaa! Nielekezeni 😆
Anyways wa Dodoma tukutane mnadani.
Aisee, wewe nakufahamu vizuri kabisa!
Mkuu ile thread ya mwanzo imekuwaje nimeisaka kinoma
Weka usiogopeKubabeki! [emoji23][emoji23] kuna mtu aliniambia kwanini situpii picha kwenye ule uzi wa picha nikamwambia mimi siku nikiweka picha tu lazima kuna mtu atajitokeza anaenifahamu!
Jamani wakuu mnaona mnaonaaa! [emoji2358]
Ilikufa halafu ikafariki mkuu[emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu ile thread ya mwanzo imekuwaje nimeisaka kinoma
Kazi iendelee.Weka usiogope
Daah
Weka sasa tusafishe macho mkuuKazi iendelee.
Huu nao naona unaenda kufa au ushakufa bado kufariki tu,😂😂😂
Hakuna kitakachodumu mileleHuu nao naona unaenda kufa au ushakufa bado kufariki tu,[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto hawataki kutupia mapicha tusafishe machoHuu nao naona unaenda kufa au ushakufa bado kufariki tu,[emoji23][emoji23][emoji23]
deck the halls with boughs of holy...It’s begging to look a lot like Christmas [emoji319]