Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,560
Nashe's cafe- bagamoyoWeekend ya viwanja tujulishane tulipo tunaweza kuwa location moja bila kujuana..View attachment 2824688
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashe's cafe- bagamoyoWeekend ya viwanja tujulishane tulipo tunaweza kuwa location moja bila kujuana..View attachment 2824688
Sent using Jamii Forums mobile app
CC popcorn🤣
Nimempatia labda kama bado hajakutumia anajimaliza mwenyewe huko.🤣Nimegundua huna 🤣🤣🤣
Afu kakosea yani me ni zaidi ya popcorn sema yeye hajui tyuuu!!! 🤣🤣🤣🤣CC popcorn🤣
Uongo 🤣🤣🤣Nimempatia labda kama bado hajakutumia anajimaliza mwenyewe huko.🤣
Hiyo ni siri ya familia haiongelewi hadharaniAfu kakosea yani me ni zaidi ya popcorn sema yeye hajui tyuuu!!! 🤣🤣🤣🤣
Nikuthibitishie vipi lakini..?😅 or screenshot?Uongo 🤣🤣🤣
We sema nikutumie pm uone balaa la gigy na Amber. 🤣🤣🤣🤣Nikuthibitishie vipi lakini..?😅 or screenshot?
Usinifanye mshamba kaka yako🤣We sema nikutumie pm uone balaa la gigy na Amber. 🤣🤣🤣🤣
Amber rose?We sema nikutumie pm uone balaa la gigy na Amber. 🤣🤣🤣🤣
sijafunga pm cheupe dawaWe sema nikutumie pm uone balaa la gigy na Amber. 🤣🤣🤣🤣
Amber Lulu bana 😂😂😂Amber rose?
Leta hizo vitu PM,chaaap chaaaapAmber Lulu bana 😂😂😂
hiyo 'mlipangana' haijanibariki kabisa..!Nikichangamka hawachelewi kunireport kwa mods 😂😂😂
Sasa mtu anavamia comment anasema umenitusi anamaanisha nini?!! Au mlipangana?
Yeye Maua anamtoa jasho mpk leo hawajamalizana 😂😂😂
Leta hizo vitu PM,chaaap chaaaap
Wifi yako niko mbali naye leo.



Hiyo 'popcorn' haina maana yoyote tafadhali Glenn..!!CC popcorn🤣
Nataka hiyo ya amber ila Gigy nimecheck vile style inafaa mwanamke akae tayari.🤣Si ulisema unayo
Mwenzio nilikuwa nayo toka usiku nimepewa
tukumbukaneWaiting😌