Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,931
Hebu naomba nitumie nione babe😂😂😂Kama hana nitampatia uongeze dhambi.
Matusi ya akili sana😂😂😂😂
Niamini Mimi, Kaka hana shida..!!
anapenda akikuona unaruka ruka hivyo kama popcorn ndiyo raha yake..
Sina aisee, naitamani![]()


Niliona intro tyuu!! Nipo serious halafu😂Kama hana nitampatia uongeze dhambi.
Ok mama.Hebu naomba nitumie nione babe😂😂😂
Aisee, Gigy hajiheshimu kabisa.Niliona intro tyuu!!
Ila kuna wenzetu mishipa ya aibu imekatika
Waiting😌Ok mama.
Aisee, Gigy hajiheshimu kabisa.






Whatsapp zinakusubiri.Nipo serious halafu😂
Nikute notification huko
Whatsapp zinakusubiri.



matusi..??Matusi ya akili sana😂
Hahaha..
Na ndio tulikuwepo kuke tunachangamsha jukwaaa nyie wengine ni kuview tuVigezo nyie wa 2014 kuendelea bado sana, kule tukae wale wa kuanzia 2008 mwisho 2012 . Si zaidi ya hapo, watoto mtulie
Hahaha..
Ngoja nimuulize mdogo wangu alimaanisha nini..!!
kuna watu wakiwa wapole huwa hawanogi, personality ya uchangamfu inakupendeza sana sana..!!Nimeokoka ss hivi, sitaki kuchachua watu ntapata laana bure!!! Wengine wakubwa zetu humu
Msumbuane wenyewe huko na wifi yako WhatsAppWewe nawe km huna hiyo connection sema sio kutusumbua na wifi yangu![]()
Nikichangamka hawachelewi kunireport kwa mods 😂😂😂kuna watu wakiwa wapole huwa hawanogi, personality ya uchangamfu inakupendeza sana sana..!!
Nimegundua huna 🤣🤣🤣Msumbuane wenyewe huko na wifi yako WhatsApp