Mi sijawahi braza. Nimwambieje sasa? Ukimuona huyo,na wewe utaogopa. Mi alikuja nikajifanya nafunga kamba za viatu ili apite tu. Na ndo nilikuwa namsubili pale leliniChukua mrembo keshakuelewa acha kupoteza bahati kama mzee Pdidy anaandikiwa namba badala ajiongeze yeye anaenda kumtafutia barmaid kazi ya ukonda wa basi la mkoani.
Haukuwa unatabasamu rafiki?or mental shift ilikupeleka upande wa mapenzi kwenye hali ya huzuni?Nikasema wacha niweke hii playlist ya Westlife isindikize hii kazi ninayoifanya nisichoke 😁hee ghafla akili ikaanza kuwaza mahusiano na na mapenzi🤣🤣
View attachment 2822336
Nikapotezea Nikaendelea kushika kalamu😁😁heee ulivyopiga huu wimbo
View: https://youtu.be/_lc_VfizoYA?si=QQ_lSuC6VWAMN0rLHeee…”…” kitaalam Sijui inaitwaje hii😁😁
Huu msuli wa kiume wa kike ?
Uko vzrNikasema wacha niweke hii playlist ya Westlife isindikize hii kazi ninayoifanya nisichoke 😁hee ghafla akili ikaanza kuwaza mahusiano na na mapenzi🤣🤣
View attachment 2822336
Nikapotezea Nikaendelea kushika kalamu😁😁heee ulivyopiga huu wimbo
View: https://youtu.be/_lc_VfizoYA?si=QQ_lSuC6VWAMN0rLHeee…”…” kitaalam Sijui inaitwaje hii😁😁
Hahahaha, usikute kweli anataka connection 😂😂😳🤔🤭 Makubwaa
R u taking things serious here🤷?
Camon' umepungukiwa nn kukuita mdogo angu?
Anyway,Sawa mkuu!
Hahahahaha,sawa sawa bahariaMimi nimevaaa kiatu changu Cha siku zote[emoji1787]View attachment 2822321
Yani sielewi naona mvurugano na kupoteza concentration ya kile nilikuwa nafanya😁😁😁Haukuwa unatabasamu rafiki?or mental shift ilikupeleka upande wa mapenzi kwenye hali ya huzuni?
Kwenye nini mkuu?Uko vzr
Ktk playlistKwenye nini mkuu?
Yani sielewi naona mvurugano na kupoteza concentration ya kile nilikuwa nafanya😁😁😁
Mzima lakini mzee baba?😊
Ohooo…gud!👊👊👊Ktk playlist
Hii team work siitaki 😁😁Mtumie ujumbe binadamu mwenzetu usomeke
"Moyo na ubongo vimefanya team work bila kukosea na kukupenda mzima mzima"
Mimi mzima tu hofu kwako?umepotea..
irudie basi mchuchuThanks lovieee[emoji3590]
Mahaba matamu aiseh,unayakataa?Hii team work siitaki 😁😁
Mimi Niko salama kabisa chief…maisha yanatufanya kupoteana humu ndani😍
Nimefurahi selfika kuja kinamna nyingine🥰🥰🥰🥰
Mahaba yanamuda wake kwa sasa ngoja kwanza🤣🤣🤣Mahaba matamu aiseh,unayakataa?
Maisha Ndivyo yalivyo cha umuhimu ni kukaza kamba,mfanye kazi kwa bidii ila msitusahau hata 5USD ambao hatuko na kazi tunashinda JF😉.
Yeah tunaselfika ila bado sijaona hata ukucha wako humu.
Hongera rafiki,wewe ni mzungu kabisa kwenye suala la mahaba.Mahaba yanamuda wake kwa sasa ngoja kwanza🤣🤣🤣
Dah aise mkuu uko vizuri kitendo cha kuizungumzia dollar tayari tumeshapeana madaraja.😁😁nipe connection na mimi nianze zungumzia dollars mkuu usifanye hivyo ujue.
Nimeshaselfika mzee baba..ukiona picha ya kidada kiandunje cheusi mangala ndio mimi🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Eendelea kutuwekea playlistOhooo…gud!👊👊👊