Kwa hiyo kale ka robo saa ulikokuwa unatisambazia kanahamia kwake? Bora arudi tuNimefurahi kukuona tena huku Dr!π
Warmly welcome!
π!Bro tafadhali, unataka kuchomeka nini?
Thanks Antonnia!π€Nimefurahi kukuona tena huku Dr!π
Warmly welcome!
Akhaaa daraja la hamsini mi siko huko. Mbona unauliza nini! Umenipenda? Sidanganyikiii.Umeshavuka 55???ππ
MWT ndio mrithi wako??
Tokea Mbasha Meat Supply ifunguliwe I guess.ππWe jichanganye. Bora mimi
Mbagala na Kisemvule,kuna butchery zimeandikwa Mbasha Meat supply. Ukipita wanasemaga eti wanauza miguu minne ya mbuzi, wanaongeza eti Yaani peya sasa toka lini miguu minne ikaitwa peya. Mi nimemaliza kama hujaelewa utajua mwenyewe
Sometimes nahisi inawezekaba kweli watumiaji wengi wa jf ji matajiri. Ambao wana mifumo ya kuwaingiza mapesa wakiwa zao wamekaa chitchat. Ni ajabu mtu saa 12 asubuhi yupo anachat humu mpaka jioni, saa sita usiku unamkuta uzi wa jf usiku wa manane. Wanajishughulisha saa ngap???Make cheke πππ
Nikueleweshe nini. Acha umbea. Kwani peya ni nini?Tokea Mbasha Meat Supply ifunguliwe I guess.ππ
Embu nieleweshe vizuri..π€
Wazee hawahitaji kupendwa tena. Tukishawajali tu inatosha kumalizia muda wenu!Akhaaa daraja la hamsini mi siko huko. Mbona unauliza nini! Umenipenda? Sidanganyikiii.
Mtani wa Taifa anatembeza umeme na upendo
π€£π€£π€£π€£!View attachment 2822085ukinicheka kiatu unakula block π
π???Nikueleweshe nini. Acha umbea. Kwani peya ni nini?
Hivi we vipi. Unamuogopa nini? Mtani wa Taifa , ebu lete kibatali hapa Dr Lizzy anaona giza tuuWazee hawahitaji kupendwa tena. Tukishawajali tu inatosha kumalizia muda wenu!
Wa Tanesco au Solar???π
Ila ameopoa pisi kali aiseeπ€£π€£π€£π€£!
Wee maviatu yahivo inaonekana ndo unayoyapenda Kuna Siku ulitupia vinaelekeana nahivo ila vilikua nyekundu nadhani π€£π€£π€!
Na bangi zako zote kumbe ndo ulivo mfyuuu!
Pair bwanaπ???
Lianike ujue kimasihara litabebwa. raraa reree matunda kwake diliiiiπππππ???
Kesho mwenyejiii [emoji8][emoji8]Yes! Fanya chap [emoji4]
Coca zero?! Yaani jamani,mi moyo wangu kalibia wote unang'okaKesho mwenyejiii [emoji8][emoji8]
π viatu adimu hivyoπ€£π€£π€£π€£!
Wee maviatu yahivo inaonekana ndo unayoyapenda Kuna Siku ulitupia vinaelekeana nahivo ila vilikua nyekundu nadhani π€£π€£π€!
Na bangi zako zote humu kumbe ndo ulivo mfyuuu!