Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Shemeji Tayana kakufungulia pm kwanza nijue? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mnapiga domo mpk wakala afunge ofisi nikose pesa
Anasema hela eti nimpe moyo. Sasa mi nitabaki na nini[emoji23][emoji23] nimemzawadia outing
 
Hivi, Mshana Jr ,saa moja kasolo, na mada hii,alilala wapi? Na nani? Wakifanya nini? Ili iweje? Badae kitatokea nini? Wazazi wa alielala nae wanajua mtoto wao alikuwa wapi( mtoa mada mwenyewe simuongelei alishashindikana hadi kufukuzwa kwao).
Wakati anawaza haya,alikuwa amevaa nini yeye? Mpaka anaandika,alikuwa anajisikiaje? Nakaona kwa mbali amesimama mbele ya kioo mwenzie amelala anapigwa picha bila kujua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…