Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,130
- 41,804
🤣🤣🤣Hapo SasaUzuri huendana na roho. Mi sio wa kufungiwa benki halafu hawaoni nafanya muamala. Sema Meneja ananijua walikomalia walinzi . Wajinga sana. Hivi wanajua niko namfanyia nani maokoto?
Woii, kuna wahandsome humu👍Watu wa jamiiforums waoga sana, weka picha kama hii, hakuna wa kukudhuru[emoji123][emoji123]View attachment 2820914
Chukua kabisa nenda nao mbali huko😀😀Wacha🤣🤣🤣
Wacha nitambe[emoji41][emoji123]Woii, kuna wahandsome humu[emoji106]
Kijana 😂😂😂 umeshaharibuWatu wa jamiiforums waoga sana, weka picha kama hii, hakuna wa kukudhuru[emoji123][emoji123]View attachment 2820914
keyboard warriorChukua kabisa nenda nao mbali huko😀😀
Hofu ya nini? Tupia picha wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kijana [emoji23][emoji23][emoji23] umeshaharibu
🤣🤣🤣🤣Hofu ya nini? Tupia picha wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikupe siri! Serikali haihangaiki na jamiiforums,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah waniue
Hata familia wakinibana kisawasawa itakua ngumu kusema
Sasa mkuu ndo raha ya kuwa unknown unaweza jibizana na waziri humu na ukambana kwa hoja ila wote mkishajulikana watu wenye uwezo kifedha wanakimbilia kwenye uchumi wao kujiteteaNikupe siri! Serikali haihangaiki na jamiiforums,
Shida ni kwamba watu wengi wanaogopa kupost sura zao halisi kutokana na class walizojitambulisha nazo toka mwanzo.
Relax, enjoy your time boss!
watu mnaenjoy orijino beats music 👍🏽👍🏽👍🏽
Kumbe humu mwanzoni watu walikua wanajitambulisha kwa sura zao. OhooNikupe siri! Serikali haihangaiki na jamiiforums,
Shida ni kwamba watu wengi wanaogopa kupost sura zao halisi kutokana na class walizojitambulisha nazo toka mwanzo.
Relax, enjoy your time boss!
Beats fit pro my guy!Mkuu
watu mnaenjoy orijino beats music 👍🏽👍🏽👍🏽
Wakiweka naked msisahau kunitag namie nisafishe macho wapendwa!🙇Watu wa jamiiforums waoga sana, weka picha kama hii, hakuna wa kukudhuru[emoji123][emoji123]View attachment 2820914
Aisee itabidi nikutoe out week end. Tulia. Hebu vuta pumzi. Usihofu. Toa namba[emoji1787][emoji1787]Sawa
Ht hivyo siwezi
Acha niwe mpole tu
Njiwa njiwa [emoji444][emoji444][emoji443][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo Sasa
Kikiva nistue😋😋😋!