Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,945
😂😂😂 Sijakuelewa ujueTulia. Nina safari mwisho wa mwaka. Narudi Feb mwanzo. Vuta subira
😂😂😂 Sijakuelewa ujueTulia. Nina safari mwisho wa mwaka. Narudi Feb mwanzo. Vuta subira
I hamu you badly,hujatoka tu mama?Mambo?
Weka hatucheki sana 😂😂😂Nina kitambi mtani cheka staki🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kumbe hauko upande wangu😢🤣🤣🤣 huu mwaka mshamba asipojinyonga bas hafi tena mpk uzeeni
Unakubali kujiingiza kwenye kosa hilo?kosa ni kumuiba sio kumdere😂
🤣🤣🤣 Kumbebinti macho umekua na roho ya korosho
Usizae hadi nije kukupa ushauri kidigitali. When am back Feb 2024Sijakuelewa ujue
😂😂😂😂 We subiri uone ss hivi itaingiaNatamani kutoa ahadi nikipewa taarifa ya kuwa ummna ujauzito hata wa 1 month🤐...na vile unavyopenda pesa naona utatuigizia.
Nimetoka, Nipo nyumbani right now.I hamu you badly,hujatoka tu mama?
Kwahiyo humu wote mko abroad? Mpo mnatuchanganya sasa?!! 🤣🤣🤣Usizae hadi nije kukupa ushauri kidigitali. When am back Feb 2024
Hahaaaa naona hizi Ndevu zangu zimekuwa kivutio kikubwa. Hapo vipi?nimeona ndevu anko Juju. Nataka nizione vizuri
😂😂😂😂 shem me nipo mbona sema Zulu kakaba mpk penatikumbe hauko upande wangu😢
nidalalie basi kwa huyo mwanamwali😂😂😂😂 shem me nipo mbona sema Zulu kakaba mpk penati
No mi nipo Tz sasa.Kwahiyo humu wote mko abroad? Mpo mnatuchanganya sasa?!!![]()



Unataka nile maparachichi ya sumu nijiue? si ndio?Unakubali kujiingiza kwenye kosa hilo?
🤣🤣🤣Kwahiyo humu wote mko abroad? Mpo mnatuchanganya sasa?!! 🤣🤣🤣
Sema ,au unambania bwana country nije kumsaidia kushika miguu😂😂😂😂 We subiri uone ss hivi itaingia