Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hata mimi ni mfuasi wa karume mzuri tuu mpaka viatu vya 500 ninavyo, ila unakuwa na vipea hata 2 vya kununulia crips mlimani pale.
Hivi viatu nilivipenda sana nikajilipuaView attachment 2820677
Nimecheka eti vya 500
Jmn kumbe wapenda viatu virefu tupo wengi
 

Attachments

  • Screenshot_20231121-123621.jpg
    Screenshot_20231121-123621.jpg
    68.9 KB · Views: 5
Wifi nakusalimia😌❤️
Wifi uko poah!!
Ndio unaamka toka juzi?
Pole kaka mbaya? Tema mate nimchape!! 😂😂😂😂
Bora umefika twiga wangu hebu nibless na mfoto mkali nisindikizie lunch yangu
 
Wifi uko poah!!
Ndio unaamka toka juzi?
Pole kaka mbaya? Tema mate nimchape!! 😂😂😂😂
Bora umefika twiga wangu hebu nibless na mfoto mkali nisindikizie lunch yangu
Hahaha, nimeshakubless hapo juu WiFi yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom