Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

20231120_135540.jpg
 
Weee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi na me niagize sema pesa ndefu mi nishazoea za vya karume saa 11 jioni vya kumwaga chini
Hata mimi ni mfuasi wa karume mzuri tuu mpaka viatu vya 500 ninavyo, ila unakuwa na vipea hata 2 vya kununulia crips mlimani pale.
Hivi viatu nilivipenda sana nikajilipua[emoji3][emoji3]
20231121_134123.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom