Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,946
Nimeona nimeona wizoHahaha, nimeshakubless hapo juu WiFi yangu.
Uko 🔥🔥🔥🔥
Nimeona nimeona wizoHahaha, nimeshakubless hapo juu WiFi yangu.
Oyaaaaa jamaniii heeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋Uzi umechangamka sana😌
Haya, mchana mwema🥵
Aah wapi sio kirahisi hivyoNasubiri tu. Japo naona mtu katoa location tayari
😍😍😍😍Labda nikuongezee yake nyingine kama unahitaji😉
Anatuma location lipa kashaweka kibunda 🤣🤣🤣Aah wapi sio kirahisi hivyo
Unataka Nije nifunguliwe Uzi boss🤣🤣🤣
Ndio vya 500 vipo unavizoa mpaka basi. Napenda sana viatu virefu nikivaa nakuwa comfotable sana.Nimecheka eti vya 500
Jmn kumbe wapenda viatu virefu tupo wengi
Hahaha,kama wewe ni dume basi uko vzrMimi dume mkuu![]()
Tamaa mbaya 🤣🤣🤣
Kwakweli tunaomba wale wanaoharibu Uzi wasije humu😅😂😂😂😂 mwishowe ufungwe kama wa selfika
HahahahahahaAliyesema Jf haina warembo apigwe ban
Hebu mkemee. Halafu nimeangalia kwa huzuni tu usijaliTamaa mbaya
Mke wa mtu huyo
Sitaki niwe maziwa maana yeye ni sumuTamaa mbaya
Mke wa mtu huyo
Aah achana na MFALME WETU 🤣Kwahiyo unataka kukaa karibu naye?
Uzi umechangamka sana
Haya, mchana mwema![]()
Huyo ame blokiwa mbona.Oooh jf wanawake wabaya Haya sasa sijui mtasemaje
Kama nawaona wanavyomzoom mpiga picha kwenye dirishaUzi umechangamka sana
Haya, mchana mwema![]()


Ndo mie hapaNdio vya 500 vipo unavizoa mpaka basi. Napenda sana viatu virefu nikivaa nakuwa comfotable sana.
Halafu mwanamke akivaa kiatu kirefu anaonekana smart mno.