Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,558
πππOyooooo!! ππππ
Portable moja matata sana
πππOyooooo!! ππππ
Portable moja matata sana
Nikikutana na mtu kitu cha kwanza hua naangalia miguu, napenda viatu vizuri, napenda miguu mizuri na misafi.Asante kama umeipendapo
Mjeda nimemuona kwa kweli kanivuruga πππ
Mjanja wewe ila tutakuandama hadi utumeDr niko kitandani chiu nimejilaza, subiri nivae ntakushtua nikitupia![]()
Tupia tuDr niko kitandani chiu nimejilaza, subiri nivae ntakushtua nikitupia πππ
Huhuu cha kwanza unachabo miguuNikikutana na mtu kitu cha kwanza hua naangalia miguu, napenda viatu vizuri, napenda miguu mizuri na misafi.
(Sijui nina tatizo au wengine pia wanajali miguu)
Shemeji huogopi nyoka? π
Chiu? πππTupia tu
Eee kidogo tu hata nyweleChiu? πππ
Hawa mashemeji mnaowaeka muwe mnatoa na namba zao tuwapongeze kwa kumiliki pisi kali π
Hapa lazima tupate boot nyingi!!Nimecheka π€£Uzi umenoga Leoooo
Tayana-wog, nipo MCity hapa, unaingia au ndio umetoka?!!
Weee sema kweli? π€£π€£π€£Eee kidogo tu hata nywele
ππππ dr usijali ntaweka ngoja nivaeMjanja wewe ila tutakuandama hadi utume
Ongeza ikikataa tutakufikisha hata hospital yenu mpya wakufanyie .....
Picha ya mwaka jana iyo mkuu πTayana-wog, nipo MCity hapa, unaingia au ndio umetoka?!!
ππππ Tusipopata zile boot tutakuwa tumerogwa sio bure