Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,565
- 9,760
tajiri la basi za Achimwene mutu ya migodini
Mimi nimei-save
Dah πππππ siongezi nenoNililiringishia we si ulikua umeenda kuvuta majani
naumia sana mimiYupo mmoja anaumia kweli πππ
Bro hatutaki wallpaper pic!![emoji3508][emoji3508]View attachment 2819434
Unaumia na nini Chino? πnaumia sana mimi
Mama mchungaji kuna usalama kweli hapa? ππππUr missed too tajiri ,boss mwenye pesa zake mjengoniπ€£
Huna baya
Nimevaa ile kiatu ya wamasai na tie.Bro hatutaki wallpaper pic!!
Tunataka utudolishie ulichovaa leo sisi vioo tutuoe marks πππ
Mbona hujanipa feedback sasa bro?!!Nimevaa ile kiatu ya wamasai na tie.
Juu haikuhusu π€£Hapo sawa haya pandisha camera kwa juu kuna kitu nataka nione πππ
Wifi Ms eyes njoo au kaka kakuchosha??
Hapo chacha πJuu haikuhusu π€£
Ngoja nirudi kupumzika maana macho mazito kweli,baadae sitoenjoy kumuona huyo bibie kama nisipopumzika..
Mwambie awahi kutoka kazini.
Hebu chukua namba ya kikorea kimoja hapo ππ CAPTORHINOMORPHSView attachment 2819317
View attachment 2819318
Musical performance,,[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Bro haujui my first name ni jobless wa kimataifa ππ€£Jobless unajiita Intelligent businessman
Sitokuangusha,tutabadilisha sehemu maana naona nimekutumia sehemu ya kukutana huko juuπ€£ na humu nasikia kuna majambazi hivyo mambo yaendele kisiri siri.Hapo chacha π
Kwahiyo leo ndo kilele chenyewe!!
Usiniangushe bro, nataka kufika mwakani niitie aunt ππππ
Badilisha mwaya msije kukatishiwa siku yenu maalumu na wanga wa JF ππππSitokuangusha,tutabadilisha sehemu maana naona nimekutumia sehemu ya kukutana huko juuπ€£ na humu nasikia kuna majambazi hivyo mambo yaendele kisiri siri.