Umeusikia wimbo mpya wa Chidi Benz ?

Umeusikia wimbo mpya wa Chidi Benz ?

Kote huko kwenye magari ya watu binafsi, daladala na bodaboda umepita saa ngapi?
Acha kamba bwana, hata kama unamfanyia promo teja, tafuta namna ambayo maneno yako yatakuwa yakikaribiana na ukweli.
LIKUD anaweza kuwa ndio benzino hii ni overpromoting
 
Last edited by a moderator:
Lil brother, what u cant c here is that, i am trying to show how positive minded i am. As a right thinking person,i have to appreciate other people's work. U cannot because you are a negative minded person. Are u in school?

In the Blue colour, I Might be your father as well,
In Red colour, It is none of your business sir/Madam.
 
Imetumika nguvu kubwa mno kufanya hii promo.
Kwenye boma letu ukidakwa na kete za unga unachapwa fimbo sabini hadharani.
Tell him not to cross the line.
 
In the Blue colour, I Might be your father as well,
In Red colour, It is none of your business sir/Madam.

When i said " Are u in school?" i meant " Do u understand what am saying, na wala sikumaanisha " Upo shuleni unasoma". I hope umejifunza neno jipya hapo.
 
What is "to think" to you?

And if you are not sure if you really think, how could you be sure others do not think?

Thinking is the act of using the mind to produce rational judgment or results.
 
Thinking is the act of using the mind to produce rational judgment or results.

By your definition, there is no "irrational judgement" as a product of thinking, is that so?
 
Inaweza ikabamba sababu ya Jina lake na sababu ya masahibu yaliyomkuta lakini sio sababu ya uzuri..., kwahio wewe unaweza ukaiweka hii kwamba ndio kazi yake bora kuliko nyingine ?

https://www.youtube.com/watch?v=cFkTC3ASw-M Dar es Salaam Stand Up

https://www.youtube.com/watch?v=3giG_HKMzhA Raha za Dunia Mashaalah ft Mzee Yusuf

Hizo hapo juu ndio kazi alizofanya kazi.... nyingine ni kelele tu na muunganiko wa maneno

Mkuu kazi yake nyingine yenye ajili ni hii aliyofanya na Ray C

https://m.youtube.com/watch?v=9IBXTXYSyGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom