Umesoma vitabu gani mwaka 2017?

Mwaka juzi sikusoma hata kimoja ila mwaka jana nilikomaa na hivi...

The windmill od gods cha hardley chase

The alchemist

Tuache utan watanzania hatupendi kusoma vitabu....
 
Ni kweli nakubaliana na wewe mkuu, ila kufanyia kazi unayosoma kwenye vitabu wala haihitaji nguvu nyingi sana,kusoma kunaongeza ufafamu kwahiyo sio lazima utumie njia za kwenye vitabu ulivyosoma kutatua matatizo ya kila siku,ila uwezo wako wa kudeal na life problems utakuwa tofauti na layman,siku zote wanasoma no knowledge is wasted ni kweli kabisa,binafsi usomaji wa vitabu umenisaidia sana tena sana sio kwenye maisha ya kawaida hata kipindi niko chuo,badala ya kusoma PowerPoint mimi nilikuwa napenda kusoma vitabu.
Mwisho kabisa tambua kwamba
"Knowledge without practice is useless, practicing without knowledge is dangerous."
 
Mwaka juzi sikusoma hata kimoja ila mwaka jana nilikomaa na hivi...

The windmill od gods cha hardley chase

The alchemist

Tuache utan watanzania hatupendi kusoma vitabu....
Hilo halina shaka kabisa sisi watanzania ni wavivu kupindukia,tuna knowledge kidogo sana lakini ujuaji mwingi....
 
Hilo halina shaka kabisa sisi watanzania ni wavivu kupindukia,tuna knowledge kidogo sana lakini ujuaji mwingi....
Mwaka jana nimesoma novel 2 (hapa sijaweka vitabu vya field yangu)...mwaka huu nitajitahidi nisome kuanzia 3 kwenda juu!!! it can be done!!
 
Umesoma hivi vyote ? Kama ndiyo hongera sana.
 
Bible( continuing reading)

Jonathan Chahn.
Harbinger(prophetic)

David Jeremiah
(Christianity)

Kusadikika S. Robert( nimerudia)

Head master Strikes Again( novel used in International schools)

Sadaka na mzaliwa wa kwanza( not sure of title) Mwakasege.

Facing mount Kenya - Jommo Kenyatta( not finished).
Few academic books.
 
Nina access ya hard copy ya hicho cha Mandela na Ton Blair lakini vinanipa uvivu kila nikiangalia udadi ya pages nimeushia kuangalia picha tuu lakini mwaka huu ntajitahidi sana
 
Nina access ya hard copy ya hicho cha Mandela na Ton Blair lakini vinanipa uvivu kila nikiangalia udadi ya pages nimeushia kuangalia picha tuu lakini mwaka huu ntajitahidi sana
Hicho cha Mandela ndio nakisoma kwasasa, ni kizuri sana. Nikimaliza hicho nasoma cha Ernesto Che Guevara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…