Umesoma vitabu gani mwaka 2017?

I have idea kwa nini tusi unde group la Whatsapp liwe kama club ya usomaji vitabu
Hilo group la pili kutoka mwisho ni group la wanajamiiForum, humo utapata vitabu vingi na kupeana updates juu ya usomaji, unachotakiwa kufanya ni kujiunga na telegram.
 
Mkuu unaweza kuwa na softcopy ya HIGH PERFOMANCE HABIT by BRENDON BURCHARD
 
Hilo group la pili kutoka mwisho ni group la wanajamiiForum, humo utapata vitabu vingi na kupeana updates juu ya usomaji, unachotakiwa kufanya ni kujiunga na telegram.

Kwasisi tusiotumia Tele hatuna msaada!
By the way, thread hii imeniamsha. Mwaka 2017 naweza kuwa sijasoma kitabu chochote maana nilidhani niko busy sana, lakini 2016 nilisoma vitabu kadhaa.
 
Kwasisi tusiotumia Tele hatuna msaada!
By the way, thread hii imeniamsha. Mwaka 2017 naweza kuwa sijasoma kitabu chochote maana nilidhani niko busy sana, lakini 2016 nilisoma vitabu kadhaa.
Pole sana mkuu,naomba jitahidi uidownload telegram iko Google play store, wala haina process nyingi... Ni kama WhatsApp tu.
 
Pole sana mkuu,naomba jitahidi uidownload telegram iko Google play store, wala haina process nyingi... Ni kama WhatsApp tu.

Asante, nitajitahidi. Japo niliipakua miaka miwili iliyopita nikajikuta haijanivutia kubaki nayo. Hamna namna nyingine ya kupata vitabu hasa kwa iOS user.
Na pia wazo la whatsapp sio baya kwa kubadilishana uzoefu
 
Kwa ios sifahamu mkuu,kuhusu WhatsApp group watu wengi wanaogopa sababu huko hakuna privacy sana kaama telegram
 
Mmmh ni kweli kusoma vitabu kunafsida, kwanza unasisimka unapopata kitabu kipya Kwaajir ya shahuku kujua yaliyomo pia unaenjoy unaposoma.unapanua ufahamu pia lkn nadhani kutumia muda mrefu mno kusoma tu badala ya kuwa na muda kutumia ufahamu uloupata... mmmh nisawa na kuishi kwa nadharia tu badala ya vitendo.
Sioni kama ni sifa kusoma vitabu kibao ili Uwe kinara wa mijadala flaniflan tu...
Samahan kwa kunatisha fikra zangu kwenye ujumbe wako[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…