Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,119
njoo inboxKama kuna soft copy za hivyo vitabu naomba mnitumie jamani. Mimi pia huwa napenda kusoma vitabu sema huwa sina hela ya kuvinunua.
njoo inboxKama kuna soft copy za hivyo vitabu naomba mnitumie jamani. Mimi pia huwa napenda kusoma vitabu sema huwa sina hela ya kuvinunua.
hicho cha brian nimekianza jana kesho kutwa ntamaliza panapo majaliwa,kipo murua sanaNimesoma
1. Eat that frog by Brian tracy
2. The richest man in babyloan cha George samwel clason
Ndugu zangu nashauri someni hivyo vitabu. These are books you must read in your lifetime.
kwa kifupi umesoma vyote vy hadith.Nimesoma Qur'ani na vitabu vya hadithi
mkuu njoo inbox nikupe email unitumieWhen it comes to last year's 'read', I wish I could ask for my money back from the YR 2016.
Just a few.
Hard Choices. Hillary R. Clinton.
Memoir ya Hillary C. Katika miaka 4 aliyokuwa Sec.of State. Maamuzi aliyofanya na ugumu wake wakati vita vilikuwa vinaendelea in the middle E. na jinsi hali uchumi wa dunia kwa ujumla ilivyokuwa in crisis, Democrats walivyoshinda WH 2008. It's fascinating. (I'll revisit)
Game Change. (John H and Mark H)
Shughuli iliyokuwa inaendelea behind the scenes, kati ya Obama&the Clintons, McCain&Palin, wakati wa campaign za uchaguzi 2008.
Eat, Love Pray. Elizabeth Gilbert.
A woman's soul serching in Italy, India, Indonesia.
A Girl's Guide to Moving On. (Debbie Macomber)
This's self explanatory. 🙂
French Women Don't Get Fat. Mireille Guiliano.
A non diet book with recipes. Kuhusu French Women, utayarishaji wa vyakula vyao and how they enjoy their food while staying slim and healthy. For foodie(s) and those interested in eating, drinking and a lifestyle of French women, It's one of the best bet.
My fav. 🙂
Aaah me na mapishi mmh, hata sijisomi, ntavisoma mwakani. Ntakuwa nakuja tu kula kwako teh
I wish ningeweza kuwa convince atoto na Heaven Sent na hiki kitabu.
Lakini kila nikiongelea mambo ya diet mbele zao wananizodoa mpaka basi.🙂
Vitu gani tena unazungumzia?I wish ningeweza kuwa convince atoto na Heaven Sent na hiki kitabu.
Lakini kila nikiongelea mambo ya diet mbele zao wananizodoa mpaka basi.🙂
Tuwacheeeee
Aaah me na mapishi mmh, hata sijisomi, ntavisoma mwakani. Ntakuwa nakuja tu kula kwako teh
kwani nguruka wanahitaji "manual" sijui recipes gani kupikwa?Kupika tena!!!
Akuu mnitue.
Chi ndio hapo chacha!!kwani nguruka wanahitaji "manual" sijui recipes gani kupikwa?
..
Aaah me na mapishi mmh, hata sijisomi, ntavisoma mwakani. Ntakuwa nakuja tu kula kwako teh
Vitu gani tena unazungumzia?
kwani nguruka wanahitaji "manual" sijui recipes gani kupikwa?
Chi ndio hapo chacha!!
Kuchoshana tu.

We soma uje utupikie, ila habari za kunichosha kusoma mapishi tena kwa lugha gani sijui hiyo hapana.Karibuni sana.
Haki nawagawa!,..![]()
![]()
![]()
We soma uje utupikie, ila habari za kunichosha kusoma mapishi tena kwa lugha gani sijui hiyo hapana.
Ukija takupikia nguruka wasipopita kooni then utanisomea hicho kitabu.
Ulivyojibu kiupole sasa!!Sawa mamie..😀
Ulivyojibu kiupole sasa!!
Hauamini majicho yako kuwa hatukisomi, teh teh teeeeh!
Hebu tutafutie cha kuwa mwanamke wa kiafrika,na kiwe kimetafsiriwa tafadhali.
Maana humo nguruka hakosekani.
Hahaha!, sawa bwana. Eti nguruka hakosekani...lol
Nimelipokea hili dongo, tena asubuhi kumeshakuwa kweupe. 😀
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa bwana maduhu huku mashambani na huo ufaransa anaujulia wapi!!
Mwisho atanishangaa "hili toto nalilishaga lakini mbona hata halishibagi" usukumani hakuna ufaransa bwana.
Sasa huo ufaransa nitaweza kunyanyua jembe kulima jaruba?Hahah!, kwa kuniweka kwenye mstari tu, hujambo.
Sasa jamani usukumani na Uafrika si tumeshajua, ndo maana tunajaribu kujua na ya wengine ati.
Heaven Sent nae si kama hao wafaransa sasa na huo u model wake, mbona yeye humpi kibano!