Umesoma vitabu gani mwaka 2016?

Umesoma vitabu gani mwaka 2016?

Nimesoma vitabu vifuatavyo
1. The da vinc code
2. The alchemist
3. The strong man putin
4. Animal farm
5. The history of christianity
6. Perfumed Garden

Vyote ninavyo kwa pdf kwa anayehitaji.
mkuu naomba na mimi kama hutojari
 
Red Giant my bro,
Xmas was in Nonde, I lost my bishdo on 24th, Xmas eve.
Asante kwa topic ya leo.
Vitabu.
Ukitaka kumficha siri mtu mweusi, iweke kitabuni.
Hatusomi ndio maana tu watu duni.
Tunajenga nyumba nzuri sana na hazina maktaba na ghala la kuhifadhia nafaka ( siongelei store mnakoweka makorokoro, spare zisizo na kazi, mafyekeo, matairi mabovu etc) Naongelea ghala la vyakula.
Mwaka huu nimesoma Vitabu vichache kabisa.
1. Nimesoma Biblia
2. Makuwadi wa Soko huria
3. Katiba inayopendekezwa
4. Secret of powers
5. Long walk to the freedom
6. Master of the game
7. Memories of midnight
8. From the distance
9. Learn from the best
Nonde hii iliyokuwa chini ya Diwani Godius G Mwambasi, hii iliyopakana na kata ya Majengo, Itiji, Nsoho, na Ghana!

Ama Nonde mtaa katika kata ya Maendeleo?
 
1.Gold fish have no hiding place..by james h. Chase

2.My life in crime..by John kiriamiti

3.Figure it out for yourself..James h.chase

4. Consider yourself dead..James h. Chase

5.I hold the four aces.James h. Chase

6.A leap of faith..Danielle steel

7.The first phone call from heaven..Mitch albom
My life in Crime, hiki kitabu nilikisahau kwa abiria mwenzangu wakati huo Scandinavia bus zipo kwenye soko..kama una soft copy ya hicho kitabu naomba msaada wa kukipata mkuu
 
b2b155e2fc04c7ec49b9ecf8dfffd01c.jpg


Hakuna makosa na wala sio bahati mbaya kuumbwa Mwafrika, na kuzaliwa Afrika.

Hajafanya Makosa Mwenyezi Mungu.

Asante kwa zawadi hii.
Una softcopy ya hiki kitabu?
 
My life in Crime, hiki kitabu nilikisahau kwa abiria mwenzangu wakati huo Scandinavia bus zipo kwenye soko..kama una soft copy ya hicho kitabu naomba msaada wa kukipata mkuu
Sina soft copy...
 
1.Utata wa 9/12 i&ii - Husein Tuwa
2.Haini -Shafi Adam Shafi
3.Msako - Japhet Nyang'oro Sudi
 
Camel club-David Baldacci,
The Broken Window- Jeffery Deaver
Why Pick On Me-James H. Chase
Tutarudi Na Roho Zetu - Ben Mtobwa
 
habarini wakuu. mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini na kushirikishana vitabu tulivyosoma na mambo yaliyomo. Mwaka huu sikuwa na usomaji mzuri sana. nimesoma vitabu vitatu na vingine sikumaliza.

1. The planet of slums na Mike Davis. kinazungumzia "anatomy'' ya majiji ya nchi masikini. umachinga, kufumuka kwa ulokole, kwanini si rahisi kuhamisha watu kutoka slums hata ukiwapa nyumba? nk.
7855.jpg

2. The Prince na Niccolo Machiaveli. kinazungumzia mbinu za utawala.
c7bc35f579799a5973f2b66937bcd3af.jpg

3.Guns, gems and steel na Jarod Diamonds. hiki ndiyo namalizia kusoma. kinaelezea kwanini kuna tofauti ya maendeleo duniani. kimejikita kwenye sababu za msingi za kihistoria. kitabu kimoja bomba sana na kinaelimisha sana. Ahsante kui kwa kupendekeza hiki kitabu.
images

4.The great divide. hiki kinazungumzia tofauti za kiuchumi za wamarekani.sikukimaliza labda ntakisoma tena.
41P964TeTDL._SX322_BO1,204,203,200_.jpg

we umosoma vipi?
cc king kan, nyumba kubwa, MALCOM LUMUMBA, MSEZA MKULU, The Boss, Dark City
Umesoma kitabu/vitabu gani mwaka 2014?
Umesoma vitabu gani mwaka huu?
Nataka vitabu vya computer na program zakd

Office, hiwe ni word, excell etc

Mweny pdf soft copy plz
 
Back
Top Bottom