MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
nafikiri hicho Appollo's arrow na The 3rd way vitakuwa bomba sana. mwaka huu ntakusanya nguvu nisome Biblia yote.
Bomba kinoma,
Kuna vingine naweza kukutumia kama utavitaka mkuu!
Hilo la Biblia ni jambo jema sana, mimi kwa siku nilihakikisha nasoma angalau sura moja bila kulala nkajikuta nimesoma karibia sura zote.