Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
habarini wakuu. mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini na kushirikishana vitabu tulivyosoma na mambo yaliyomo. Mwaka huu sikuwa na usomaji mzuri sana. nimesoma vitabu vitatu na vingine sikumaliza.
1. The planet of slums na Mike Davis. kinazungumzia "anatomy'' ya majiji ya nchi masikini. umachinga, kufumuka kwa ulokole, kwanini si rahisi kuhamisha watu kutoka slums hata ukiwapa nyumba? nk.
2. The Prince na Niccolo Machiaveli. kinazungumzia mbinu za utawala.
3.Guns, gems and steel na Jarod Diamonds. hiki ndiyo namalizia kusoma. kinaelezea kwanini kuna tofauti ya maendeleo duniani. kimejikita kwenye sababu za msingi za kihistoria. kitabu kimoja bomba sana na kinaelimisha sana. Ahsante kui kwa kupendekeza hiki kitabu.
4.The great divide. hiki kinazungumzia tofauti za kiuchumi za wamarekani.sikukimaliza labda ntakisoma tena.
we umosoma vipi?
cc king kan, nyumba kubwa, MALCOM LUMUMBA, MSEZA MKULU, The Boss, Dark City
Umesoma kitabu/vitabu gani mwaka 2014?
Umesoma vitabu gani mwaka huu?