Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Hakuna course hyo Mzumbe mkuu. Iliyopo inaitwa Health system management (HSM) ipo School of public adminstration and management (SOPAM).

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hakuna tofauti sana na nilichokisema mimi,nimesema alikua anasoma Bachelor of Public Adminstration in Health Service Management,nilichokosea hapo ni service tu na system,nimechanganya maana kuna vyuo vingine wanaita hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya mwanao afaulu akasome udsm home of intellectuals au nje.cbe ni kwaajil ya madem vilaz.a na mbwembwe mjini.

Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
nimekataa kuaminishwa hicho kitu mkuu.... maana wana kibao waliomaliza hapo udsm huku kitaa tunawacheki kwa rear view mirror na vimeo kibao tunawapush... labda ilikuwa enzi hizo ila sio siku hizi
 
Tuliacha shule na Peter Msechu, akawa msanii mimi nachimba visima.
 
Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake

Mkuu kwa maisha ya watanzania ww ni tajiri tayar.
 
Back
Top Bottom