Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

.
IMG_20211027_182341.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wewe usiwaeleze umesoma wapi! Wanatafuta gia za kuwaingia ili wapate K za bure hao
Mimi wala hata sijawahi kwenda huko sijui ndio wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kipindi hiko chuo ni cha moto, LGAF, huku BAAF moto juu ya moto. Sikupata GPA kubwa ni 3.4 nikapata zali la mentali kunyanyuka zangu Majuu. Enzi za JAKAYA hizoooo.

Hatar
 
Miaka yetu kilikua moto... kimetoa vichwa wengi wa Afrika... sema mambo hubadilika pia.

Sana miaka hiyo UDSM alumni ni Alumni kweli walikuwa vichwa siku hizi maboga mengi sana
 
Back
Top Bottom