Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 2,005
Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana naye.
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha.
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako
Je, umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?