namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 747
Mnoko baba yako[emoji2][emoji2][emoji1]Acha unoko taja chuo ulichosoma
Mnoko baba yako[emoji2][emoji2][emoji1]Acha unoko taja chuo ulichosoma
Nimesoma chuo cha madrassa kwa Ustadh mmoja anaitwa Sheikh Ubwabwa.
Hakuna hicho chuo hapa Tanzania,
Hangaya ndiyo kakianzisha?
SUZA 1989[emoji41]
''Uenda" ndo nini mkuu?? Neno Sahihi ni "huwenda"
Water institute 2017
Swali la kijinga kweli kweli. Ili iweje? Vipi,umemaliza chuo ramani hazisomi unatafuta connection ili ujue aliyebahatika akupigie debe sehemu?
Ulikuwa bishoo na kujifanya umetoka familia bora chuoni. Tulia hivyo hivyo kijana sindano ikuingie vizuri[emoji1][emoji1]
Mnoko baba yako[emoji2][emoji2][emoji1]
Nimemkumbuka ex wangu alisoma Ashira na tulikuwa tunakutana hospitali akijifanya kuumwa. Tulikutana akiwa mpokea wageni tukiwa na event nilivamia sijui ya club gani.Mimi ni me, hutafaidi. Watafute wake zetu au nikueleze mke wangu kuwa alisoma ashira Girls cc cariha
Nimemkumbuka ex wangu alisoma Ashira na tulikuwa tunakutana hospitali akijifanya kuumwa. Tulikutana akiwa mpokea wageni tukiwa na event nilivamia sijui ya club gani.
She is cute af
Ndio mkuuSuza??
Wewe je?Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako
Je umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?