Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

Wana JF wote wame soma oxford na vyuo vingine vya njee ya nchi
 
Mzumbe University TANZANIA - BAF
Copenhagen University DENMARK - Master of FINANCE

Dah BAF umenikumbusha mbali nilishauriwa nikasome BAF mzumbe dah nikaona mambo ya accounting Siyawezi
 
Kwa hyo kusud la wew ni kuwake I'd adharani ..

Mm nimesoma chuo Cha uwazir tabora 2004
 
Huu sasa ni ubaguzi kabisa.

Mmeona tuko juu mnaanza vimaneno maneno eti hatukusoma,

Mmmh.
 
Back
Top Bottom