Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

SAUT ALUMN 2019 LLB Hons.
PGDLS Law School of Tanzania
LLM OUT International Law
Currently Phd SAUT Mineral & Petroleum Law chini ya Prof Costarica Mahalu na Dr George Mwaisondola

Hongera sana Minja
 
ila UDOM jina kubwa ila Wanafunz wake ni hovyo hakuna wanalojua
Hiki chuo mi hata waniambie napewa Full funded SCHOLARSHIP kwenye PhD yangu siwezi soma, hata watoto wangu siwezi waacha waende pale. Mtanisamehe most of guys wanaograduate pale ni vilaza sana makazini, vichwa vigumu mno kuelewa, nimefanya nao kazi sana ni weupe mno.
 
Amazon college & co
Hotel Management
Mwenye mchongo wa hotel yoyote anitoe connection wakuu January ngumu hii!
NB
Seriously issue!
 
Hiki chuo mi hata waniambie napewa Full funded SCHOLARSHIP kwenye PhD yangu siwezi soma, hata watoto wangu siwezi waacha waende pale. Mtanisamehe most of guys wanaograduate pale ni vilaza sana makazini, vichwa vigumu mno kuelewa, nimefanya nao kazi sana ni weupe mno.
Mkuu kupata full funded PhD scholarship unafikiri jambo la mchezo. Hata TEKU huwezi kupata kama unawaza ukilaza wa mtu unatokana na chuo alichosoma pekee. Kuna mtu amesoma chuo kisicho na jina lolote na huwezi mfikia kwa lolote! Vilaza na wenye uwezo wapo kutoka kila chuo, ongeza sample yako mkuu.
 
SAUT ALUMN 2019 LLB Hons.
PGDLS Law School of Tanzania
LLM OUT International Law
Currently Phd SAUT Mineral & Petroleum Law chini ya Prof Costarica Mahalu na Dr George Mwaisondola
Umemaliza LL.B SAUT 2019, Ukaingia Law School 2020- 2021, halafu ukaunga LLM, halafu ukaunga LL.D mbona hesabu haziji.
 
Sie tulioishia la-tano C,
Tusitafutane au ndio ku-nini?kututengaa, bha!😭
 
Mkuu kupata full funded PhD scholarship unafikiri jambo la mchezo. Hata TEKU huwezi kupata kama unawaza ukilaza wa mtu unatokana na chuo alichosoma pekee. Kuna mtu amesoma chuo kisicho na jina lolote na huwezi mfikia kwa lolote! Vilaza na wenye uwezo wapo kutoka kila chuo, ongeza sample yako mkuu.
Sijasema hivyo mkuu, nimesema kwa maoni yangu mm.
 
Hiki chuo mi hata waniambie napewa Full funded SCHOLARSHIP kwenye PhD yangu siwezi soma, hata watoto wangu siwezi waacha waende pale. Mtanisamehe most of guys wanaograduate pale ni vilaza sana makazini, vichwa vigumu mno kuelewa, nimefanya nao kazi sana ni weupe mno.

Kabisa wamejaa vilaza
 
Back
Top Bottom