Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
Hapo sawa, umekamilika kwenye uhasibuCPA (T), na ACCA ninazo mkuu.
Hapo sawa, umekamilika kwenye uhasibuCPA (T), na ACCA ninazo mkuu.
Hahahaha sasa unadhani natumia basi huo ubasibu...?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo sawa, umekamilika kwenye uhasibu
Ungekuwa chitchat ingefaa zaidi.mada za kitoto hizi
Ukaamua uende kwa vilazaDah BAF umenikumbusha mbali nilishauriwa nikasome BAF mzumbe dah nikaona mambo ya accounting Siyawezi
Kipindi hiko chuo ni cha moto, LGAF, huku BAAF moto juu ya moto. Sikupata GPA kubwa ni 3.4 nikapata zali la mentali kunyanyuka zangu Majuu. Enzi za JAKAYA hizoooo.Dah BAF umenikumbusha mbali nilishauriwa nikasome BAF mzumbe dah nikaona mambo ya accounting Siyawezi
AhsanteHongera
Miaka yetu kilikua moto... kimetoa vichwa wengi wa Afrika... sema mambo hubadilika pia.Yaani siku hizi kimekuwa cha kiwango cha Chini, vilaza kibao, unakuta alumni wa UDSM anapata 10% interview za utumishi
Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako
Je umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?
Kwani hamna magroup ya Whatsapp ? Eboo msitusumbue mambo ya Facebook mnayaleta hukuTuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako
Je umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?
Sawa gud boiMzumbe University TANZANIA - BAF
Copenhagen University DENMARK - Master of FINANCE
Kama kuna wazazi wake na boyfriend wake humu waone au sioebu picha yake tumuone
✍......Kwa hyo kusud la wew ni kuwake I'd adharani ..
Mm nimesoma chuo Cha uwazir tabora 2004
Nipe kazi mkuuUmepata kazi au nikupe kazi
Hivi ni uwazir au uhadhiriKwa hyo kusud la wew ni kuwake I'd adharani ..
Mm nimesoma chuo Cha uwazir tabora 2004