Umesikia hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umesikia hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kitabu, Jan 10, 2011.

 1. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dada mmoja anamwambia mumewe"Juma ananitongoza ninamkatalia lakini hasikii"(mume)"mkatalie tu"(mke)"nimemkatalia lakini kasema atanidondoshea laki tano,nikiokota tu atakuwa kamaliza"(mume)"aa kama ni hivyo ni rahisi tu,kubali halafu uokote haraka haraka.Demu kaenda,baada ya muda jamaa anampigia simu mkewe,"umefanya Kama nilivyokuambia?"(mke)"ndio,Ila amedondosha chenji chenji ndo namalizia kuokota mme wangu"-Kama ni wewe ungefanyaje?
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Duh hii kali kama atakuwa alidondoshewa shilingi kumi kumi za laki tano itachukua muda kweli kurudi
   
 3. M

  Mkare JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafanyaje na ulimwambia mwenyewe aende kwa Juma, chezea Juma eeh, utamsubiri tu aje na hizo hela na UKIMWI juu!
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tabia mbaya si pendi humu jf!
   
 5. czar

  czar JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tamaa + njaa = ?
   
 6. S

  Simeon Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  akitoka huko apitie huku,nadondoshaga pia
   
 7. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Sasa, aliinama mara ngapi?
   
Loading...