Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,697
- 32,274
Nduguu!!!! Kuchunguza gari ni mpaka uwe hela mfukoniHahahah poleni sana kwa ngebe wazee gari mbovu hio kwanini hamkuichunguza kwanza
Nakumbuka miaka ya 2003-2004 nilikuwa Shanta Kwenye taxi ya anko wangu aisee hiyo gari ilikuwa kimeo hatari Sana....Oyaa Extrovert unaitwa huku.
Hahahah hio kiboko, TZB ya enzi hioNakumbuka miaka ya 2003-2004 nilikuwa Shanta Kwenye taxi ya anko wangu aisee hiyo gari ilikuwa kimeo hatari Sana....
Brake fluid ilikuwa inatumika povu la sabuni ya unga..
Bonnet inafungwa na waya,gari haina kibali wala Bima inaendeshwa usiku Tu
Hahah kwahio bora usiichunguze tu ukiwa huna helaNduguu!!!! Kuchunguza gari ni mpaka uwe hela mfukoni
Ukienda Kwa fundi anakupigia hesabu vitu ambavyo unaweza kubadisha inafika laki 5 alafu mfukoni mwako Una buku 3 Tu ebu niambie Kwa style hiyo utakuwa na hamu ya kufanya service??haya Magari sometimes ni vilio Tu...Hahah kwahio bora usiichunguze tu ukiwa huna hela
Hahahahah af gari lenyewe benz bili ingekuja million 2 bora mlijiongeza kubeba vidumuUkienda Kwa fundi anakupigia hesabu vitu ambavyo unaweza kubadisha inafika laki 5 alafu mfukoni mwako Una buku 3 Tu ebu niambie Kwa style hiyo utakuwa na hamu ya kufanya service??haya Magari sometimes ni vilio Tu...
Unafanya safari ya kwenda morogoro huku mnapita kuomba MUNGU masaa yote Ili gari isiharibike
Hii kitaalamu tunaita..Umdhaniae ndiye, siye..[emoji23]Duh kuna siku niko kwenye foleni sambamba na kigari kimoja cha ajabu ajabu nikakiangalia like wtf! Haikupita dakika gari yangu taa ya coolant ikawaka mara mvuke kama wote! Nikapaki pembeni kile kigari kikanipita taratibu nimefungua duka! Kuna water connector ilikuwa ime crack! Aisee kile kigari sasa hivi nikikiona nakiheshimu(tunatumia njia moja)
Jamaa alikuwa anajidai ipo ok. Kumbe ilikuwa ok kwa mizunguko ya Dar tu. Nje ya mji ikawa kimeo hasa.Hahahah poleni sana kwa ngebe wazee gari mbovu hio kwanini hamkuichunguza kwanza
Hahahah kwahio mliiacha moro au?Jamaa alikuwa anajidai ipo ok. Kumbe ilikuwa ok kwa mizunguko ya Dar tu. Nje ya mji ikawa kimeo hasa.
Gari ilikuwa kama ya kujivukizia Corona. Ingakiwa miaka hii mle ndani tungeweka limao,mwarobaini na tangawizi so ikitembea mwendo flani tunaenda jifukiza.Unafungua bonnet unakuta maji yanatokota,na mvuke unatoka kama vile unachemsha mizizi ya dawa...
Sikutaka shida nilimwacha nikarudi kwa bus.... Ile ilikuwa safari ya mashaka..haifai kabisaHahahah kwahio mliiacha moro au?
Kwa hio ulimsaliti mwamba?π π πSikutaka shida nilimwacha nikarudi kwa bus.... Ile ilikuwa safari ya mashaka..haifai kabisa