Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
Okay...may be somedayIts a long story nikikupa summary hutoelewa
Okay...may be somedayIts a long story nikikupa summary hutoelewa
YeahOkay...may be someday
Pole, hakufai huyo, ke hapigwi kwa fimbo bali....ndio niliwahi kupigwa kofi, aiseeh nilichukia hatari.
Jamani y!!!!???Teh wanaishia kunihurumia tu.... Nikipigwa na kamwili kenyewe haka nitakufwa
[emoji85] [emoji85]Jamani y!!!!???
Usirudie tena dada[emoji85] [emoji85]
Hahahaha kama nakuona jicho lilivyokutokandio niliwahi kupigwa kofi, aiseeh nilichukia hatari.
Hadi wewe??!Mie nishadundwa sitosahau huyo siku. Though mie ndie nilikua chanzoo
Aya[emoji85]Usirudie tena dada
Sijawahi na sitowahi kupiga mwanamke..
Hahahaha kama nakuona jicho lilivyokutoka
We ndio nini sasa.?!Me sina ujasiri wa kumpiga mwanamke,anaweza kunifustrate lakini siwez kufikiria kumpiga my womani,lakin mdogo wangu wa kike naweza
Mbona umeshangaaHadi wewe??!
Hahaha ungerudisha tu jamani, ung'olewe menohahahaaaa!! nilipigwa na butwaa maana lilikuwa la kustukiza, nikataka kurudishia nikawaza fasta nikaona nitalazwa kwa kipigo kitakachofuata!! nikawa mpole.
Kwaio hata kwamatumiz halifaiSasa mimi ni zaidi hivo. Sijui niseme umbo chapati! Hata sijui ila halieleweki bana