dalloboy
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 314
- 246
Hahahah umenifurahsha kwel mkuuMwombe 0712 akikataa umepata chanzo chakipigo pia akikubali unamtwanga mingumi kamakawa
Hahahah umenifurahsha kwel mkuuMwombe 0712 akikataa umepata chanzo chakipigo pia akikubali unamtwanga mingumi kamakawa
Kagawanyike niringe!Nataman nikuone ulivosema ""na ka mwili kangu haka"" nahc kamegawanyika ka nyigu eeh !!! Valentina
Hongera Lakin siku na yeye atakapokuchanganyia damu usirudie tena kumpiga maana,, mmeshalipizianamimi ni mpiganaji niliyesomea kupigana, uwezo wangu kupigana na watu wasiosomea kupigana ni waje watu watatu na kuendelea wanichangie na wawe na silaha ndio nitapata challenge akija mmoja au wawili wataenda ICU. zamani hizo za ujinga, nilishawahi kumpiga mke wangu mara nyingi sana, tena nikiwa na akili timamu sijalewa wala nini. nilikuwa mkatili sana.
ajabu yake, siku moja mke wangu alipokuwa kugungua nina mpenzi nje, na nimezaa naye hadi watoto, alinipa kipigo ajabu, na sikumrudishia hata kofi tu, nilikubali kupigwa vyovyote atakavyo kutokana na kosa nililolifanya, na yeye hakuwa ananipiga akifikiria ana nguvu kuliko mimi, alikuwa anapiga aondoe hasira. alinichapa aiseee...hahaha. kwa sasa tunapendana sana sana na tumeyasahau pamoja na kwamba mimi nilishampiga na yeye alishanipiga.
hii kiboko....mkuu mzidi kupendana tumimi ni mpiganaji niliyesomea kupigana, uwezo wangu kupigana na watu wasiosomea kupigana ni waje watu watatu na kuendelea wanichangie na wawe na silaha ndio nitapata challenge akija mmoja au wawili wataenda ICU. zamani hizo za ujinga, nilishawahi kumpiga mke wangu mara nyingi sana, tena nikiwa na akili timamu sijalewa wala nini. nilikuwa mkatili sana.
ajabu yake, siku moja mke wangu alipokuwa kugungua nina mpenzi nje, na nimezaa naye hadi watoto, alinipa kipigo ajabu, na sikumrudishia hata kofi tu, nilikubali kupigwa vyovyote atakavyo kutokana na kosa nililolifanya, na yeye hakuwa ananipiga akifikiria ana nguvu kuliko mimi, alikuwa anapiga aondoe hasira. alinichapa aiseee...hahaha. kwa sasa tunapendana sana sana na tumeyasahau pamoja na kwamba mimi nilishampiga na yeye alishanipiga.
Ngoja Niku Pm mamito najua utakuwa unanitania tuKagawanyike niringe!
siku ukimpiga unamuua bora umuache tumi huwa namtafutia kisa mpenzi wangu ili nimdunde lakn wapi, huwa sipati kila akijaa najikuta namhurumia.sijui nifanyeje,
Ndo nakwambia kweli hivo. Kamwili hakana mnofu hakaNgoja Niku Pm mamito najua utakuwa unanitania tu
Mbona unanikatsha tamaa mamNdo nakwambia kweli hivo. Kamwili hakana mnofu haka
mpm ikiwezekana umualike kwenye part yako ile usile mwenyewe ule na mtu mwenye kimjimwili kama hichoNdo nakwambia kweli hivo. Kamwili hakana mnofu haka
Nakwambia tu ukweliMbona unanikatsha tamaa mam
Party gani?mpm ikiwezekana umualike kwenye part yako ile usile mwenyewe ule na mtu mwenye kimjimwili kama hicho
Pole sana. Lakini bahati mbaya wanaume wengi tunapata n.y.ege kwa ke kwa kumnyanyasa angalau kidogo. Yaani ile kuonyesha I am above her. Ukileta usawa sana basi tunapoteza hali ya umiliki na nye.g.ge. ila siungi mkono mateso yaliyopindukia.Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
haahaa mimi bado mgeni labda aje tumuulize kuwa ni part gani hiyoParty gani?
Hebu akujehaahaa mimi bado mgeni labda aje tumuulize kuwa ni part gani hiyo
Heh!, kwamba una figa isiyoelezeka, au kama ile ya Bi Mkole, yaani upana juu, chini kudogo na pasi ya kufa mtu. Kuna kipindi nilikuwa napenda mademu ya wa aina hiyo balaa.Kagawanyike niringe!
Sasa mimi ni zaidi hivo. Sijui niseme umbo chapati! Hata sijui ila halieleweki banaHeh!, kwamba una figa isiyoelezeka, au kama ile ya Bi Mkole, yaani upana juu, chini kudogo na pasi ya kufa mtu. Kuna kipindi nilikuwa napenda mademu ya wa aina hiyo balaa.
Aliomba msamaha? Ulihisi alikuwa sahihi..labda ulikuwa umekosea...au kwa nini?Nishawahi pigwa sikuchukua hatua yoyote ile nilimsamehe tu.