usiwe mnyonge bi dada mtu akikuchokoza mrushie japo jiwe la kichwa hatokufuata tena.Naogopaje kupigwaaa..sinaga nguvu ya kupigana ndo maana sipiganagi
Halafu watu wa sampuli yako wanakuwaga wazuri.Mhhhh yani machozi yangu yako karibu....automatikale nitaliaa ahadi utajuta kuniudhi.
zubaa uchekwe!tena mbioza maana....
Vipi njiwa bado unao au umeshawauza wote,wagema ulimbo inabidi wapigwe tu.Nilikua mtemi wa mtaa,piga sana mitaa mengine,alafu nilikua nafuga Njiwa aisee nimepigana Ugomvi wa kugombea njiwa,mwisho ugomvi nikiwa darasa la tano
kukinikisha raha sana hasa ukiwa unayaweza.Leo mchana gesti moja pale manzese alikiuka makubaliano, nikamzaba viwili vitatu, mabousa wake wakaja kikanuka, ndio tuko polisi saivi Hapa urafiki, mi Nipo ok ila wao kila mmoja anachechemea
Nakuonea hurumaMhhhh yani machozi yangu yako karibu....automatikale nitaliaa ahadi utajuta kuniudhi.
usiwe mnyonge bi dada mtu akikuchokoza mrushie japo jiwe la kichwa hatokufuata tena.
Nalog off
Halafu watu wa sampuli yako wanakuwaga wazuri.
Nalog off
Hapana ila sikubali kukuona ukionewa.Unanifundisha ugomvi eeeh
Madogo tu haya.@Washawasha una mambo
Hapana ila sikubali kukuona ukionewa.
Nalog off
Madogo tu haya.
Nalog off
usikonde bi dada,we lianzishe tu.Yaaani safari hii nikionewa tu, nakuita uje unisaidie
jiandae kuyapokea.
Makubwa yanakuja etiii.