The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,662
- 2,288
Hao jamaa wengi ni matapeli kwa akina dadaAhahhahahahahaah Cheka tu mwaya nikikumbuka naumia sana halafu jamaa ni Yale ya mabakamabaka serikalini ila ni katapeli hakooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent
Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia....Umemlaani sana huyu mtu huenda huko alipo. Ni majanga tuu
Msamehe jamaa ahalaanika sana huko alipoHapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
hakika weng ni matapel, nami naona kuna msichana nilimpenda sana nkawa nae nilimkuta ana mtoto alizalisha akaachwa nae toka nmekua nae ananiwekea mashariti kuhusu kufanya nae maoenzi kwa kigezo mtoto atazulika bado mdogo, nkimwambia kuna dawa ya kuzuia hcho kitu kutokea na nilikua nshagharamia kwa mtaalam ili tutumie mm na yeye na mtoto wake pia tena hataki lkn anapopata shida zake binafsi znazohitaji pesa kwa malez ya mtoto wake ananiomba huu pia si utapeli wa kimya kimya.Wapenzi wote ni matapeli, tunafanyiana unafki, kila mtu anamlia timing mwenzake. Mapenzi yalikua zamani, siku hizi sanaa tu
Erick punguza utapeliHapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati
Sent using Jamii Forums mobile app
Matapeli wapo,bora wakutapeli fedha kuliko kukutapeli afya
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Erick punguza utapeli
mama wawili