tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 695
Hahahahahaaa,yaani mpaka uje ukute mwanamke ameolewa na kuwekwa ndani na kuwa chakula ya jamaa(mke),amepitia sarakasi mingi/nyingi sana na za kufa mtu ambapo ni vigumu sana kusema kwa mchumba mpya.Tatizo nyie wadada/wanawake(badhi)huwa mnashoboka na hawa wanyoa ooooh na scrubs zao za usoni mkiwaacha wanaume walio 'normal'.Mtaendelea kumegwa na kutapeliwa mpaka mtakapotia akili kichwani.Pole sana Faith kisa chako kinafanana na changu kabisa kasoro mimi sikwenda Mwanza, wala kumpa kiasi kikubwa hivyo cha fedha ili nilikwenda kwake nikapika na kupakua but ndio hivyo ni TAPELI au ni Mario, all in all ndio maisha twapitia
Sent using Jamii Forums mobile app

