Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Wewe mshenzi sitakusahau kwa kuniweka kimya kimya mbele..information zangu uka misuse, haya pamoja na mengine huwa najiuliza wewe ni mtu au jinni uliyekuja ku destroy Maisha yangu?? mnhhh
pole sana laazizi mimi sipo kama huyo boya aliyetengua moyo wako ...pole sana ukiwa na mimi tutafunga novena kuomba kwaajili yake na wewe ..ili upate amani na umsamehe na kumsahau uyo boya...
 
Wapenzi wote ni matapeli, tunafanyiana unafki, kila mtu anamlia timing mwenzake. Mapenzi yalikua zamani, siku hizi sanaa tu
Jaman mie ni kijana wa 27 yrs, toka nimejiunga jf nakutana na matukio makubwa na kuumiza pia mfn hili................mpk najiulza mbona mie sion haya kwangu ata kwa rafk zng au mie sjaish kwingi kuona mengi?
 
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakufahamu vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tapeli,mtafute mtu wako umwulize kimemsibu nini?mpe nafasi ya kujielezea.
Naamini kuna mengi ameyapitia huyajui na unaweza ukaona hiyo pesa sio kitu...

Kama alikua anakupenda,means mpaka sasa bado anakupenda.

Mwanaume mpaka kumwaga chozi sio jambo rahisi.Think
 
Nilishawahi tapeliwa penzi na mdada iliniuma hadi na mimi nikawa sina huruma na wanawake,nakumbuka nilimsomesha na kumjali kila kitu najinyima najitunza namsubiri yeye amalize chuo nimuoe daaaaah picha linaanza kamaliza chuo hataki kuja dar anataka abaki huo mkoa anadai amemis kukaa na mamaake. ikamtafutia kazi arusha namshara wa kwanza angelipwa 900000 akagoma pia niliumia sana coz mtu niliyemwomba amuunganishe namheshimu sana na yule dada alipata hiyo kazi bila interview ni vyeti tu.

Hata vyeti mimi ndio nilivipeleka kwa yule mtu.siku ya kazi demu anapigiwa simu areport arusha hapokei simu. Wakanipigia mimi kwa vile niliandikwa kama mdhamini wake.ikabidi nimtafute kwa mamaake nikampata namwambia y hapokei simu hana sababu muhimu za kuniambia.ikabidi nimpigie yule mheshimiwa nikamwambia amcancel tu huyo dada.kumbee hapo mkoa alipo kulikuwa na kajamaa kana mdanganya na kumtia kiburi hadi akawa hataki kazi.maisha yakaenda, kuna siku nakuta msg tuachane nimepata ninayempenda hii msg iliingia wakati nakula nilishindwa kula nampigia simu hapokei baadaye akaja kupokea na kuniambia vile alivyoaandika ndivyo alivyomaanisha na hana hisia na mimi kabisa.

Niliamua nilikonda ghafla.nikafanya manuva yangu nikapata no ya yule anayemtia kiburi jamaa kwa ustarabu kabisa akanijibu demu wako ananishobokea mwenyewe me simtaki ila yeye ana force tu daaah nikajiuliza huyu demu nilikosea wapi mbona kila anachotaka nampa kama kumgegeda na mgegeda mpaka anasema D unanifikishaga kwenyewe nikajiuliza au kibamia jibu hapana.nikambembeleza wapi kagoma anadai kashafanya maamuzi nikapiga simu kwa mamaake akamgomea mpaka mamaake aisee basi nikawa sina la kufanya nikaacha maisha yaendeleee tu.

Nikafanya kila njia mpaka nikamsahau kabisa.nika move on na maisha yangu.baada ya miaka kadhaa naona no ngeni kupokea nakuta ni yeye akawa ananiomba msamaha anadai usichana ndio ulimdanganya kwani yule jamaa kamzalisha na hamjali kabisa pia kajaribu kutafuta kazi mpaka sasa kakosa akadai ni laaana niliyompa ndio inayomtesa hadi mambo yake hayaaendi.nilichomjibu ni kwamba mimi nilishamsamehe kitambo sanaa.

Basi akaanza tena kunijulia hali vimassage kibao.binafsi sinaga hamu naye kabisa wala kumuwazia hadi ananiambia D umebadilika sio kama yule wa mwanzo.mimi nabakigi nacheka angejua ninavyomchukia kwa kunipotezea mda wangu wala asingekuwa anajibebisha.anyway malipo ni hapa hapa duniani.sorry kwa kuwachosha kusoma

Asanteni ndugu wasomaji.
 
Pole mkuu ndio maisha yalivyo yakiwashinda wanajifanya kujirudi kwa Gia za utoto sijui shetani shwain..
Nilishawahi tapeliwa penzi na mdada iliniuma hadi na mimi nikawa sina huruma na wanawake,nakumbuka nilimsomesha na kumjali kila kitu najinyima najitunza namsubiri yeye amalize chuo nimuoe daaaaah picha linaanza kamaliza chuo hataki kuja dar anataka abaki huo mkoa anadai amemis kukaa na mamaake.nikamtafutia kazi arusha namshara wa kwanza angelipwa 900000 akagoma pia niliumia sana coz mtu niliyemwomba amuunganishe namheshimu sana na yule dada alipata hiyo kazi bila interview ni vyeti tu.hata vyeti mimi ndio nilivipeleka kwa yule mtu.siku ya kazi demu anapigiwa simu areport arusha hapokei simu. Wakanipigia mimi kwa vile niliandikwa kama mdhamini wake.ikabidi nimtafute kwa mamaake nikampata namwambia y hapokei simu hana sababu muhimu za kuniambia.ikabidi nimpigie yule mheshimiwa nikamwambia amcancel tu huyo dada.kumbee hapo mkoa alipo kulikuwa na kajamaa kana mdanganya na kumtia kiburi hadi akawa hataki kazi.maisha yakaenda, kuna siku nakuta msg tuachane nimepata ninayempenda hii msg iliingia wakati nakula nilishindwa kula nampigia simu hapokei baadaye akaja kupokea na kuniambia vile alivyoaandika ndivyo alivyomaanisha na hana hisia na mimi kabisa.niliumia nilikonda ghafla.nikafanya manuva yangu nikapata no ya yule anayemtia kiburi jamaa kwa ustarabu kabisa akanijibu demu wako ananishobokea mwenyewe me simtaki ila yeye ana force tu daaah nikajiuliza huyu demu nilikosea wapi mbona kila anachotaka nampa kama kumgegeda na mgegeda mpaka anasema D unanifikishaga kwenyewe nikajiuliza au kibamia jibu hapana.nikambembeleza wapi kagoma anadai kashafanya maamuzi nikapiga simu kwa mamaake akamgomea mpaka mamaake aisee basi nikawa sina la kufanya nikaacha maisha yaendeleee tu.nikafanya kila njia mpaka nikamsahau kabisa.nika move on na maisha yangu.baada ya miaka kadhaa naona no ngeni kupokea nakuta ni yeye akawa ananiomba msamaha anadai usichana ndio ulimdanganya kwani yule jamaa kamzalisha na hamjali kabisa pia kajaribu kutafuta kazi mpaka sasa kakosa akadai ni laaana niliyompa ndio inayomtesa hadi mambo yake hayaaendi.nilichomjibu ni kwamba mimi nilishamsamehe kitambo sanaa.basi akaanza tena kunijulia hali vimassage kibao.binafsi sinaga hamu naye kabisa wala kumuwazia hadi ananiambia D umebadilika sio kama yule wa mwanzo.mimi nabakigi nacheka angejua ninavyomchukia kwa kunipotezea mda wangu wala asingekuwa anajibebisha.anyway malipo ni hapa hapa duniani.sorry kwa kuwachosha kusoma
Asanteni ndugu wasomaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu hawa viumbe ni wakwenda nao kiakili sana aisee.ila kuna mda najihisigi ninabahati mbaya na wale ninao wapenda.nilipata mwingine huyu nilimpenda sana nikaishi naye nikamzalisha bahati mbaya kipindi hicho magu anaingia madarakani akanipitia kwa kunisimamisha kwa mda ...tena nikawa silipwi chochote japo wao serikali ndio walionisomesha hiyo fani.maisha yakaanza kuwa magumu kwangu japo mwanzoni alinivumilia ikafika stage lawama zikawa kibao ni kweli ilikuwa haki kulalamika coz alivyotegemea sio vile yaliyotokea.ikabidi nifungue kibiashara cha tigo pesa.nikamwacha kigamboni mimi nikahamia kinondoni nilipofungua biashara ili nizichange vzr .hapo kinondoni ni frem ya nyumbani.mzee akanipa na chumba ili nikichelewa kurudi kigamboni niwe nalala pale.so kwa week nikawa narudi kwa mama mtoto angalau mara moja.kwa sababu nilikuwa napitia kipindi kigumu ikabidi niwe mbahiri ili kusave pesa.hili ndio lililonigharimu aisee.mwisho wa siku mwanamke akakusanya vyake akarudi kwao moshi.daaah niliumia nilijikaza tu.toka hapo nikapotezea kabisa habari za wanawake ni mimi na pesa tuuuu. Mungu si athumani nikarudishwa mzigoni tena nakuahidiwa kulipwa gharama zote.... Mungu ni mwema.kwa sasa nimestop kupenda labda iwe hit n run tu.nitahakikisha mwanangu aje kuishi maisha mazuri na kumpa mapenzi yote ila kwa sasa wanawake sitakiiiiii aisee.wanaume tutafute pesa sisi ndio wenye changamoto nyingi kuliko wanawake
Pole mkuu ndio maisha yalivyo yakiwashinda wanajifanya kujirudi kwa Gia za utoto sijui shetani shwain..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wapenzi wote ni matapeli, tunafanyiana unafki, kila mtu anamlia timing mwenzake. Mapenzi yalikua zamani, siku hizi sanaa tu
Na hiyo ndiyo sababu mapenzi mengi yamekuwa ya mashaka kwa sababu ya uaminifu kuwa hakuna si kwa wanawake au mwanaume kila mmoja anakuwa na mwezake kwa machale,
Chukua mfano mtu kama Faith HJ unakuwa naye hata kwa ndoa lazima atakuwa na mashaka panapotokea swala la hela nyingi!
 
Si mnajifanya mnapenda hao 'presentable',ngoja waendelee kuwa 'represent' kwenye hela na mbunye zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom