Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent
Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia....Umemlaani sana huyu mtu huenda huko alipo. Ni majanga tuu
 
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe jamaa ahalaanika sana huko alipo
 
Wapenzi wote ni matapeli, tunafanyiana unafki, kila mtu anamlia timing mwenzake. Mapenzi yalikua zamani, siku hizi sanaa tu
hakika weng ni matapel, nami naona kuna msichana nilimpenda sana nkawa nae nilimkuta ana mtoto alizalisha akaachwa nae toka nmekua nae ananiwekea mashariti kuhusu kufanya nae maoenzi kwa kigezo mtoto atazulika bado mdogo, nkimwambia kuna dawa ya kuzuia hcho kitu kutokea na nilikua nshagharamia kwa mtaalam ili tutumie mm na yeye na mtoto wake pia tena hataki lkn anapopata shida zake binafsi znazohitaji pesa kwa malez ya mtoto wake ananiomba huu pia si utapeli wa kimya kimya.
 
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Erick punguza utapeli

mama wawili
 
Nilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.

Sent using Jamii Forums mobile app

huo utapeli upo sana...wengi wametapeliwa kwa namna hiyo
 
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati

Sent using Jamii Forums mobile app

tatizo huwa mnajitoa mno...wengine huwa ni gold digger...take your time kumchunguza mtu kwanza kabla ya kuanza kupeana pesa
 
Naomba nikuulize swali dada, kwa maelezo yako inaonesh mlikua mnafanya kazi jiran au sehemu moja, sasa ilikuaje msionane kwa miaka 2?
 
Faith....ile pesa nilienda kuanzishia mradi wa mabibo kule mtwara....n right now nimefungua kampuni inaitwa "Han chen mabiboz" nilivo kuona dukani nilitaka 2ongee pembeni...what I want to tell you is dat nataka uwe CEO in my company coz capital ilikuwa pesa zako za mkopo..I don't care kama tutaendelea na mahusiano or not ila nalipa fadhila 2
 
Wewe mshenzi sitakusahau kwa kuniweka kimya kimya mbele..information zangu uka misuse, haya pamoja na mengine huwa najiuliza wewe ni mtu au jinni uliyekuja ku destroy Maisha yangu?? mnhhh
 
Sijawahi kutapeliwa pesa coz sijawahi kumuamini mtu mbele ya pesa. Hutakiwi kumwammbia mtu yeyote kama una pesa kiasi flani hata kama ndugu yako wa tumbo moja, once mtu akijua una pesa kadhaa ataanza kuzipigia plan jinsi ya kuzitoa kwako ziende kwake.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Nakutumia 85k na yakutolea
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app

TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom