General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
HahahahaNilishawahi kutapeliwa na siku niliyojua jamaa ni tapeli mapenzi yaliishia siku hiyo hiyo. Ni mwaka wa pili sasa toka anitapeli namuona tu anavyokula bata ila laki 7 yangu hataki kunilipa na angejua mwenzie ninavyobangaiza angenirudishia tu yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, Anko mtoto wa mjinj kama ww ulitapeliwa?
Au mapenzi kunogaa....
Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app


