Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni zangu 2 na nusu bado sijalipwa adi sasa na mchepuko kwa njia ya mkopo na.sasa miaka miwili. Ananipiga chenga...anaona kama papuchi ndo dawa
Mkuu mchepuko haukopeshwi,unatosa live au unatoa tu,nilishakoma kukopesha mwanamke anayeongea lugha ya taifa.
 
Ila kweli binadamu tunatofautiana. Unaanzaje kupata wazo la kumtapeli mpenzi wako? 😳
Kama una shida ya pesa kwanini usiwe mkweli badala ya kufanya utapeli?

 
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati

Sent using Jamii Forums mobile app
Baby niazime 10k!![emoji7][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom